検索ワード: zinaweza (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

zinaweza

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

blogu zinaweza kupendekezwa kwa kutumia kiungo hiki.

英語

blogs can be submitted using this link.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nchi zote zinaweza bado kubadilisha mkondo wa janga hili kubwa.

英語

all countries can still change the course of this pandemic.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kila mtu asimamie haki zake na mtaona kuwa kampuni zinaweza kuwalipa.

英語

stand up for your rights and you'll find that employers are capable of paying you #payinterns

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

dalili ndogo zinaweza kutulizwa kwa kutumia paracetamol (acetaminophone).

英語

mild symptoms may be relieved by taking paracetamol (acetaminophen).

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hiyo inamaanisha kuwa zinaweza kuwa na manufaa zaidi ya ugonjwa ambao zinazuia.

英語

that means they can have benefits beyond the disease they prevent.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

picha zilizotafutwa na kuwekwa kwenye twita zinaweza kuleta mambo ya kushangaza.

英語

a simple search for pictures posted on twitter can bring up amazing things.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa siku tunazoishi za teknolojia mpya na intaneti habari kama hizi zinaweza kuenezwa kwa haraka.

英語

in this new age that we live in, where technology and social media have become a way of life, information can gather and spread very rapidly putting issues in the spotlight.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini takwimu zinaweza kuwa za juu kwa sababu maiti bado zinaendelea kuondolewa katika eneo hilo.

英語

but the figures could be higher because dead bodies are still being retrieved in the region.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

taa za depot zinazima ifikapo usiku zinaweza sababisha mwizi kuruka na kuingia ndani pasipo kuonekana

英語

depot lights off by night

最終更新: 2023-05-11
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

blogu zinaweza kuwa ni chanzo cha habari, lakini hatuzitegemei kuwa vyanzo vyetu pekee vya habari.

英語

blogs may be a starting point for a news story, but we do not rely on them as a source.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika lugha karibu 7,000 zinazozungumzwa duniani, ni lugha chache sana zinaweza kupatikana mtandaoni.

英語

of the approximately 7,000 languages spoken around the world, only a small fraction are found on the internet.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

maji yanayotiririka hupendekezwa kwa sababu besheni tuli zinaweza kuwa na uchafu, ingawa halijoto ya maji haionekani kuwa na tofauti.

英語

running water is recommended because standing basins may be contaminated, while the temperature of the water does not seem to make a difference.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

picha zote za setilaiti zinaweza kuangaliwa kwenye tufe yakini ya google earth, kama blogu yao rasmi inavyotaarifu:

英語

all the satellite pictures can be viewed on google earth's virtual globe, as their official blog reports:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

(d) kuanzisha sheria endelevu zinazolinda familia za kitamaduni ambazo zinaweza kuwa mfano kwa nchi nyingine;

英語

(d) to establish progressive legislation protective of the traditional family that can serve as a model for other countries;

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huku baadhi a watu wanaamini kwamba nyaraka hizo za kihistoria zinaweza kupunguza migogoro ya mpaka inayoendelea, watafiti wanatilia shaka uwepo wa ramani hizo.

英語

while some believe the historic documents could ease ongoing border disputes, researchers doubt they exist at all. joseph edward discusses the issue of missing colonial-era maps of the south sudan border.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baada ya kusoma kwa mara ya kwanza, jumbe hizi za afya kwa umma zinaweza kufutwa mara moja kama vile zinavyofutwa jumbe nyingine za kero."

英語

after an initial viewing, these public health messages may be deleted as quickly as the usual text spam."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

antibodi kikawaida zinaweza kugunduliwa siku 14 baada ya kuanza kwa maambukizi.mapema aprili, uingereza ilipata kuwa hakuna kifurushi cha kipimo cha antibodi ilichonunua kuwa bora kutumika.

英語

the antibodies are usually detectable 14 days after the onset of the infection.in early april, the uk found none of the antibody test kits it purchased were sufficiently good to use.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

dalili zingine zinaweza kujumuisha uchovu, maumivu ya misuli, kuhara, vidonda vya koo, kupoteza hisia ya kuhisi harufu, na maumivu ya tumbo.

英語

other symptoms may include fatigue, muscle pain, diarrhea, sore throat, loss of smell, and abdominal pain.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kulingana na data ya machi kutoka marekani, asilimia 89 ya wale waliolazwa hospitalini walikuwa na hali zilizokuwa awali. upatikanaji wa rasilimali za kimatibabu na hali za kijamii na kiuchumi za mkoa pia zinaweza kuathiri hali ya kuweza kufa.

英語

according to march data from the united states, 89% of those hospitalised had preexisting conditions.availability of medical resources and the socioeconomics of a region may also affect mortality.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa hiyo tafsiri yangu ni kwamba jambo pekee jipya linalowezekana kupitia kauli kama hizi ni kuwepo kwa uwezekano kwamba sasa baadhi ya watu wanaweza kuanzisha shule za sekondari zinazofundisha kwa kiswahili, na kwamba sasa ni rasmi mamlaka za serikali za mitaa zinaweza kugeuza shule za msingi zilizopo kuwa za kiingereza.

英語

so my interpretation is that the only new thing made possible by such statements is that it is possible now for some people to establish swahili medium secondary schools, and it is now official that local government authorities can convert existing primary schools to become english medium.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,727,034,042 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK