検索ワード: reacted (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

reacted

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

how have iranian bloggers reacted to rz?

スワヒリ語

ni vipi mabloga wa ki-irani walivyoichukulia rz?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

several iranian bloggers reacted to this trip.

スワヒリ語

wanablogu kadhaa wa irani walitoa maoni kuhusu ziara hiyo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the government was caught by surprise and so far has not reacted.

スワヒリ語

serikali imekamatwa pabaya na mpaka sasa haijaweza kujibu chochote.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

apparently, adolph hitler has reacted to kony 2012 video campaign:

スワヒリ語

kwa uwazi, adolph hitler aliitikia kampeni hiyo ya video ya kony 2012:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

twitter user dominiccampbell, from london, reacted strongly to the news as well:

スワヒリ語

mtumiaji wa huduma ya twita domoniccampbell, aliyeko mjini london, alitoa maoni makali kuhusiana na taarifa hiyo:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

.anti reacted through a comment , using a phrase often attributed to vaclav havel:

スワヒリ語

.anti alichangia kwa kutoa maoni , akitumia usema uliotumiwa mara nyingi na raisi wa kwanza wa jamhuri ya czech vaclav havel:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

after the inject of akmal by lethal injection, the british government and some right organizations reacted fiercely.

スワヒリ語

baada ya akmal kudungwa sindano ya sumu, serikali ya uingereza na baadhi ya mashirika ya kupigania haki yalijibu vikali.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

daniel mclaughling reacted to his post arguing that abolishing national monopolies on electrical utilities is the only solution capable of producing results:

スワヒリ語

daniel mclaughling alijibu makala hiyo akihoji kwamba kumaliza ukiritimba katika huduma ya umeme ndilo haswa suluhisho linaloweza kuleta matokeo yanayoeleweka:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

they quickly reacted to the results, sharing their sadness and disappointment, but also looking forward with self-criticism.

スワヒリ語

waliotoa maoni yao pindi tu matokeo yalipotangwa, wakiambizana namna wanavyojisikia huzuni na fadhaa, lakini vilevile wakitazama mbele kwa jicho la kujikosoa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

after the gambia announced the decision to dump its membership of the international body headed by queen elizabeth ii, netizens around the globe have reacted with mix feelings.

スワヒリ語

baada ya gambia kutangaza uamuzi wa kufutilia mbali uanachama wake wa chombo hicho cha kimataifa kinachoongozwa na queen elizabeth ii, watumiaji wa mtandao duniani kote wameitikia uamuzi huo kwa hisia tofauti.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

iranian netizens reacted to this "crime" that reminds us once more that bloggers can end up sacrificing their lives for their virtual activity.

スワヒリ語

watumiaji wa mtandao wa iran wameonesha hisia zao kufuatia kosa hili la “jinai” linalotukumbusha kwa mara nyingine tena kuwa wanablogu wanaweza kuishia kutoa maisha yao sadaka kwa kazi zao zilizo na tija.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

soon after, a group of muslim scholars reacted angrily to the claims by supposed members of al-shabab that their actions were committed in the name of islam.

スワヒリ語

baadae, kikundi cha wanazuoni wa kiislamu walijibu kwa hasira madai hayo ya wanamgambo wa al-shabaab kwamba matendo yao yalifanywa kwa kutumia jina la uislam.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

"the muslim women now reacted and said, 'hey, wait a minute, our own people were killed as well,'" she recalls.

スワヒリ語

"wanawake wa ki-islam waliitikia na kusema, 'jamani, subiri kidogo, mbona watu wetu wenyewe wanauawa pia,'" anakumbuka.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

the egyptian real-estate tycoon’s supporters on facebook, reacted to the verdict on “free hesham talaat moustafa’ group as well.

スワヒリ語

wanaomuunga mkono mfanyabiashara huyu tajiri wa majengo nchini misri kwenye huduma ya facebook, waliijibu hukumu ile kwa kuanzisha kundi la “muachieni heshaam talaat moustafa.”

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

commanders, particularly those from other armed groups integrated into the spla (particularly from the ssdf), have reacted to a perceived lack of integration and authority, power and military command.

スワヒリ語

makamanda, hususan wale wa makundi mengine yenye silaha yaliyojiunga na spla (haswa wale kutoka ssdf), wameitikia ukosefu dhahiri wa ushirikiano na mamlaka, uwezo na ukamanda wa jeshi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

introduction in 1799, children’s author and educator hannah more reacted against the revolutions that had recently taken place in america and france in terms that tell us a great deal about the child’s place in british society at that time. denouncing thomas paine’s radical insistence that all men are created equal, more argued that recognizing the “rights of man” was an absurd idea. next, she scoffed, reformers would begin to discuss the rights of women, and then (even more ridiculou

スワヒリ語

utangulizi mnamo 1799, mwandishi na mwalimu wa watoto hannah more alijibu dhidi ya mapinduzi ambayo yalikuwa yametokea hivi karibuni huko amerika na ufaransa kwa maneno ambayo yanatuambia mengi juu ya nafasi ya mtoto katika jamii ya briteni wakati huo. kukashifu msisitizo mkali wa thomas paine kwamba wanaume wote wameumbwa sawa, more alisema kuwa kutambua "haki za mwanadamu" lilikuwa wazo lisilo na maana. halafu, alidhihaki, wanamageuzi wataanza kujadili haki za wanawake, halafu (hata ujinga zaidi

最終更新: 2021-03-13
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,720,528,949 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK