検索ワード: ministro (イタリア語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Italian

Swahili

情報

Italian

ministro

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

イタリア語

スワヒリ語

情報

イタリア語

india: i trascorsi criminali del candidato a primo ministro

スワヒリ語

india: mgombea wa uwaziri mkuu na historia yake ya uhalifu

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

ministro del santuario e della vera tenda che il signore, e non un uomo, ha costruito

スワヒリ語

yeye hutoa huduma ya kuhani mkuu katika mahali patakatifu sana, yaani ndani ya ile hema ya kweli iliyojengwa na bwana, siyo na binadamu.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

il ministro degli esteri francese ha contattato le autorità pakistane per liberare la giovane ragazza.

スワヒリ語

waziri wa mambo ya nje wa ufaransa ameitakata mamlaka ya pakistani kumuachia huru msichana huyu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

ho appena discusso dell'esplosione con il ministro degli esteri bulgaro, nikolay mladenov.

スワヒリ語

hivi sasa nimezungumza na waziri wa mambo ya nje wa bulgaria, nikolay mladenov kuhusu mlipuko huo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

lui e il suo ministro degli interni hanno ricevuto una comoda condanna al carcere. tutti gli altri liberi.

スワヒリ語

yeye na waziri wake wa ndani walipokea hukumu ya maisha gerezani ambayo yaweza geuzwa kwa urahisi, kila mmoja mwingine huru#mannzayamubarak

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

in mauritania l'anno accademico sta per iniziare, così come ricomincia la lotta tra il ministro e i sindacati.

スワヒリ語

mwaka wa masomo unakaribia kuanza nchini mauritania na vita ndio kwanza vimeanza kwa mara nyingine baina ya waziri na baraza la walimu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

in mauritania gli insegnanti insistono per ideologizzare il conflitto con il ministro il quale a sua volta insiste per ideologizzare la protesta degli insegnanti.

スワヒリ語

nchini mauritania walimu wanasisitiza kuufanya mgogoro huu kuwa wa kiitikadi na waziri muhusika akijibu mapigo kwa kuyafanya madai yao kuwa ya kiitikadi

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

desidero che anche voi sappiate come sto e ciò che faccio; di tutto vi informerà tìchico, fratello carissimo e fedele ministro nel signore

スワヒリ語

tukiko, ndugu yetu mpenzi na mtumishi mwaminifu wa bwana, atawapeni habari zangu zote mpate kujua ninachofanya.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

secondo nilcéa freire, ministro delle politiche di genere, la violenza contro le donne è di fatto un tema largamente ignorato dai media :

スワヒリ語

kwa mujibu wa nilcéa freire, waziri wa sera za wanawake, ukatili dhidi ya wanawake kwa hakika unpuuzwa sana na vyombo vya habari :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

c'è un'altra petizione che chiede al ministro per i diritti umani e al governo di proteggere e rilasciare rimsha masih.

スワヒリ語

yapo malalamiko mengine yanayomshinikiza waziri mwenye dhamana ya kushughulikia haki za binadamu na serikali kumlinda na kumuachia huru rimsha masih

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

come conseguenza la francia si è ritirata dagli eventi commemorativi e il precedente ministro degli affari esteri francesi ha chiesto che il presidente hollande difenda l'onore del paese e delle sue forze armate.

スワヒリ語

kama matokeo ya matamshi hayo, serikali ya ufaransa imesusia matukio yote ya kukumbuka mauaji hayo na waziri wa zamani wa mambo ya nje wa ufaransa anamtaka rais hollande kutetea heshima ya ufaransa na jeshi lake .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

@gsquare86: non capisco come l'arresto del ministro degli interni aldy non abbia portato a quello di qualche poliziotto o di qualcuno tra i suoi uomini.

スワヒリ語

@gsquare86: sielewi vipi mkuu wa moi aldy alishtakiwa ilhali hakuna polisi wala msaidizi wake hawakushtakiwa na lolote?!!!!#manzayamubarak

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

najib razak è il primo ministro in carica, che è stato accusato anwar ibrahim, leader dell'opposizione in carcere, di usare i tribunali come mezzi per zittire i critici.

スワヒリ語

najib razak ni waziri mkuu aliye madarakani anayetuhumiwa na kiongozi wa upinzani anayetumikia kifungo jela anwar ibrahim kutumia mahakama kuwanyamazisha wakosoaji wake.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

le dichiarazioni del ministro hanno riportato alla ribalta un problema già molto delicato per l'immagine della francia in materia di diritti umani e hanno attirato sul governo francese una reprimenda del consiglio d'europa :

スワヒリ語

kwa vile alishughulikia suala nyeti lililogusia haki za binadamu nchini ufaransa, waziri alionywa na baraza la ulaya: mjadala huu unaendeleza mwelekeo wa kusikitisha: matamshi ya kibaguzi na ya uchochezi dhidi ya jamii ya warumi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

ogni anima sia sottoposta alle autorità superiori, poiché non c’è autorità se non da dio; le autorità esistenti sono poste nelle loro rispettive posizioni da dio. perciò chi si oppone all’autorità si mette contro la disposizione di dio; quelli che si mettono contro di essa ne riceveranno giudizio. poiché quelli che governano sono oggetto di timore, non per l’opera buona, ma per la cattiva. non vuoi dunque aver timore dell’autorità? continua a fare il bene, e ne avrai lode; poiché essa è ministro di dio per te per il bene. ma se fai il male, abbi timore: poiché non senza scopo essa porta la spada; poiché è ministro di dio, vendicatrice per esprimere ira su chi pratica il male.

スワヒリ語

kila nafsi na ijitiishe kwa mamlaka zilizo kubwa, kwa maana hakuna mamlaka isipokuwa kwa njia ya mungu; mamlaka zilizopo zimesimamishwa na mungu katika vyeo vyao vya kadiri. kwa hiyo yeye anayepinga mamlaka amechukua msimamo kupingana na mpango wa mungu; wale ambao wamechukua msimamo kupingana nao watapokea hukumu juu yao wenyewe. kwa maana wale wanaotawala ni kitu cha kuogopesha, si kwa kitendo chema, bali kwa kibaya. basi, je, unataka usiogope hiyo mamlaka? endelea kufanya mema, nayo itakusifu wewe; kwa maana hiyo ni mhudumu wa mungu kwako kwa faida yako. lakini ikiwa unafanya mabaya, ogopa: kwa maana haichukui upanga bila kusudi; kwa maana hiyo ni mhudumu wa mungu, mlipiza-kisasi ili kuonyesha ghadhabu juu ya yeye anayefanya mabaya.

最終更新: 2013-03-07
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

人による翻訳を得て
7,788,589,381 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK