検索ワード: parenti (イタリア語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Italian

Swahili

情報

Italian

parenti

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

イタリア語

スワヒリ語

情報

イタリア語

danne l'annuncio ai tuoi parenti più stretti.

スワヒリ語

na uwaonye jamaa zako walio karibu nawe.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

parenti delle donne arrestate riunite davanti alla prigione in cui si pensava fossero detenute.

スワヒリ語

ndugu wa waandamanaji wanawake waliokamatwa wakiwa wamekusanyika mbele ya gereza lililotaarifiwa kuwa ndiko walikokuwa wameshikiliwa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

i vicini e i parenti udirono che il signore aveva esaltato in lei la sua misericordia, e si rallegravano con lei

スワヒリ語

jirani na watu wa jamaa yake walipopata habari kwamba bwana amemwonea huruma kubwa, walifurahi pamoja naye.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

credendolo nella carovana, fecero una giornata di viaggio, e poi si misero a cercarlo tra i parenti e i conoscenti

スワヒリ語

walidhani alikuwa pamoja na kundi la wasafiri, wakaenda mwendo wa kutwa, halafu wakaanza kumtafuta miongoni mwa jamaa na marafiki.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

di': “non vi chiedo alcuna ricompensa, oltre all'amore per i parenti”.

スワヒリ語

sema: sikuombeni malipo yoyote kwenu ila mapenzi katika kujikurubisha.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

a ciascuno abbiamo indicato degli eredi cui spetta parte di quello che lasciano: i genitori e i parenti stretti.

スワヒリ語

na kila mmoja tumemwekea warithi katika waliyo yaacha wazazi wawili na jamaa.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

rendi il loro diritto ai parenti, ai poveri e al viandante, senza [per questo] essere prodigo,

スワヒリ語

na mpe aliye jamaa yako haki yake, na masikini, na msafiri; wala usitumie ovyo kwa fujo.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

coloro di voi che godono di favore e agiatezza, non giurino di non darne ai parenti, ai poveri e a coloro che emigrano sul sentiero di allah.

スワヒリ語

na wale katika nyinyi wenye fadhila na wasaa wasiape kutowapa jamaa zao na masikini na walio hama kwa njia ya mwenyezi mungu.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

mia moglie è sterile e temo [il comportamento] dei miei parenti dopo di me: concedimi, da parte tua, un erede

スワヒリ語

na hakika mimi nawakhofia jamaa zangu baada yangu. na mke wangu ni tasa.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

di': “i beni che erogate siano destinati ai genitori, ai parenti, agli orfani, ai poveri e ai viandanti diseredati.

スワヒリ語

sema: kheri mnayo itoa ni kwa ajili ya wazazi na jamaa na mayatima na masikini na wasafiri.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

i vostri parenti e i vostri figli non vi saranno utili e nel giorno della resurrezione [allah] deciderà tra di voi; allah osserva quello che fate.

スワヒリ語

hawatakufaeni jamaa zenu, wala watoto wenu siku ya kiyama. mwenyezi mungu atapambanua baina yenu, na mwenyezi mungu anayaona mnayo yatenda.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

circa un mese fa, un utente di un social network iraniano ha condiviso il seguente video, girato mentre nasrin sotoudeh cercava di giocare con il suo bambino di quattro anni attraverso il vetro che separa detenuti e parenti in prigione, durante una visita.

スワヒリ語

kadri ya mwezi mmoja uliopita, watumiaji wa mtandao wa kijamii wa irani waliweka video ifuatayo ikimwonyesha nasrin sotoudeh akijaribu kucheza na mwanawe wa kiume wa miaka minne kupitia dirishani walipomtembelea akiwa jela.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

agli uomini spetta una parte di quello che hanno lasciato genitori e parenti; anche alle donne spetta una parte di quello che hanno lasciato genitori e parenti stretti: piccola o grande che sia, una parte determinata.

スワヒリ語

wanaume wana sehemu katika wanayo yaacha wazazi na jamaa walio karibia. na wanawake wanayo sehemu katika waliyo yaacha wazazi na jamaa walio karibia.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

date i miei saluti ad ampliato, mio diletto nel signore. salutate urbano, nostro compagno d’opera in cristo, e il mio diletto stachi. salutate apelle, l’approvato in cristo. salutate quelli della casa di aristobulo. 11 salutate erodione mio parente. salutate quelli della casa di narcisso che sono nel signore. salutate trifena e trifosa, donne che hanno faticato nel signore. salutate perside, nostra diletta, poiché ha compiuto molte fatiche nel signore. salutate rufo, l’eletto nel signore, e la madre sua e mia. 14 salutate asincrito, flegonte, erme, patroba, erma e i fratelli che sono con loro. salutate filologo e giulia, nereo e sua sorella, e olimpa e tutti i santi che sono con loro. salutatevi gli uni gli altri con un santo bacio. tutte le congregazioni del cristo vi salutano. ora vi esorto, fratelli, a tenere d’occhio quelli che causano divisioni e occasioni d’inciampo contro l’insegnamento che avete imparato, ed evitateli. poiché gli uomini di quella sorta non sono schiavi del nostro signore cristo, ma del loro proprio ventre; e con discorso blando e parlar complimentoso seducono i cuori dei semplici. poiché la vostra ubbidienza è divenuta nota a tutti. perciò mi rallegro di voi. ma voglio che siate saggi in quanto a ciò che è bene, e innocenti in quanto a ciò che è male. da parte sua, l’iddio che dà pace stritolerà fra breve satana sotto i vostri piedi. l’immeritata benignità del nostro signore gesù sia con voi.

スワヒリ語

mpeni salamu zangu ampliato mpendwa wangu katika bwana. salimuni urbano mfanyakazi mwenzetu katika kristo, na stako mpendwa wangu. salimuni apele, aliyekubaliwa katika kristo. salimuni wale wa nyumbani mwa aristobulo. salimuni herodioni aliye wa jamaa yangu. salimuni wale wa nyumbani mwa narkiso walio katika bwana. salimuni trifaina na trifosa, wanawake wanaofanya kazi kwa bidii katika bwana. salimuni persisi mpendwa wetu, kwa maana mwanamke huyo alifanya kazi nyingi katika bwana. salimuni rufo aliye mchaguliwa katika bwana, na mama yake na yangu. salimuni asinkrito, flegoni, hermesi, patroba, hermasi, na akina ndugu walio pamoja nao. salimuni filologo na yulia, nerea na dada yake, na olimpa, na watakatifu wote walio pamoja nao. salimianeni kwa busu takatifu. makutaniko yote ya kristo yanawasalimu ninyi. sasa nawahimiza ninyi, akina ndugu, waangalieni wale wanaosababisha migawanyiko na kusababisha kukwazika kinyume cha fundisho ambalo mmejifunza, nanyi mjiepushe nao. kwa maana watu wa namna hiyo ni watumwa, si wa bwana wetu kristo, bali wa matumbo yao wenyewe; na kwa maneno laini na maneno ya kusifusifu wao huishawishi mioyo ya wasio na lawama. kwa maana utii wenu umekuja kujulikana na wote. kwa hiyo nashangilia juu yenu. lakini nataka ninyi muwe wenye hekima kuhusu yaliyo mema, bali wasio na hatia kuhusu yaliyo maovu. kwa upande wake, mungu anayetoa amani atamponda shetani chini ya miguu yenu upesi. fadhili zisizostahiliwa za bwana wetu yesu na ziwe pamoja nanyi.

最終更新: 2013-03-07
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

人による翻訳を得て
7,747,849,959 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK