検索ワード: secondo quanto richiesto dal fornitore (イタリア語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Italian

Swahili

情報

Italian

secondo quanto richiesto dal fornitore

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

イタリア語

スワヒリ語

情報

イタリア語

secondo quanto scritto in un suo post su facebook , il giornalista wesam fadhel ha dato le dimissioni:

スワヒリ語

mmoja wa watangazaji, wesam fadhel inasemekana kuwa aliacha kazi kupitia posti yake kwenye mtandao wa facebook . ujumbe wake unasomeka:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

il figlio dell'uomo se ne va, secondo quanto è stabilito; ma guai a quell'uomo dal quale è tradito!»

スワヒリ語

kweli mwana wa mtu anakwenda kuuawa kama ilivyopangwa, lakini ole wake mtu anayemsaliti."

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

イタリア語

ciascuno dia secondo quanto ha deciso nel suo cuore, non con tristezza né per forza, perché dio ama chi dona con gioia

スワヒリ語

kila mmoja, basi, na atoe kadiri alivyoamua, kwa moyo na wala si kwa huzuni au kwa kulazimishwa, maana mungu humpenda yule mwenye kutoa kwa furaha.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

secondo quanto riferito dalla polizia, dietro l'attacco potrebbe esserci il gruppo militante somalo al-shabab.

スワヒリ語

polisi wa uganda wameeleza kwamba huenda milipuko hiyo imefanywa na kikosi cha wapiganaji wa ki-somali cha al-shabab.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

secondo quanto riportato dal ministro degli esteri bulgaro al ministro degli esteri israeliano lieberman, le investigazioni hanno individuato la causa dell'esplosione in una bomba nascosta nel bagagliaio del pullman.

スワヒリ語

waziri wa mambo ya nje wa bulgaria alizungumza na waziri wa mambo ya nje lieberman na kumwambia kuwa uchunguzi uligundua kwamba mlipuko huo ulisababishwa na bomu lililokuwa limefichwa kwenye buti la basi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

il presidente hugo chávez è stato rieletto con il 55,14% dei voti, mentre il candidato dell'opposizione henrique capriles , secondo quanto riportato dal consiglio elettorale nazionale del venezuela , ha ottenuto il 44,24% dei voti.

スワヒリ語

rais hugo chávez alichaguliwa kwa mara nyingine kwa asilimia 55.14 ya kura, wakati mgombea wa upinzani,henrique capriles, akipata asilimia 44.24, kwa mujibu wa baraza la uchaguzi la nchi hiyo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

イタリア語

questi però attendono a un servizio che è una copia e un'ombra delle realtà celesti, secondo quanto fu detto da dio a mosè, quando stava per costruire la tenda: guarda, disse, di fare ogni cosa secondo il modello che ti è stato mostrato sul monte

スワヒリ語

huduma zao za kikuhani ni mfano tu na kivuli cha yale yaliyoko mbinguni. ndivyo pia ilivyokuwa kwa mose. wakati alipokuwa karibu kuitengeneza ile hema, mungu alimwambia: "tengeneza kila kitu kufuatana na ule mfano ulioonyeshwa kule mlimani."

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

イタリア語

secondo quanto asserito dall'emittente televisiva di stato, tramite un comunicato ufficiale di oggi lunedì 19 , kim jong è passato a miglior vita durante un viaggio in treno il 17 dicembre a causa dell'eccessivo "affaticamento mentale e fisico".

スワヒリ語

kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa jumatatu , kupitia runinga ya taifa, kim alifariki kwa sababu ya “uchovu wa kiakili na kimwili” wakati akisafiri kwa gari moshi mnamo tarehe 17 desemba, 2011.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

イタリア語

altri alti esponenti della guerriglia potrebbero essere stati catturati nei 300 metri quadrati dell'accampamento - che secondo quanto si dice include un bunker sotterraneo — e le forze armate colombiane (per lo più membri dell'esercito colombiano e della polizia nazionale colombiana che sono atterrati dopo la fine dei combattimenti) hanno proceduto alla loro identificazione mentre questo post veniva scritto.

スワヒリ語

viongozi wengine wa juu wa wapiganaji hao gorila inawezekana kuwa walikamatwa ndani ya kambi hiyo yenye ukubwa wa mita za mraba 30 – ambayo inataarifiwa kuwa ilikuwa na mahandaki ya kuishi chini ya ardhi – na majeshi ya ulinzi ya colombia (ambayo yalijumuisha zaidi wanajeshi wa jeshi la colombia pamoja na jeshi la polisi la taifa ambalo lilitua baada ya mapigano kumalizika) yanawafanyia utambulizi wakati makala hii ikiwa inaandikwa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
7,747,770,327 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK