検索ワード: aujärje (エストニア語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Estonian

Swahili

情報

Estonian

aujärje

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

エストニア語

スワヒリ語

情報

エストニア語

ja kõik inglid seisid aujärje ja vanemate ja nelja olendi ümber ja heitsid aujärje ette silmili maha ja kummardasid jumalat

スワヒリ語

malaika wote wakasimama kukizunguka kiti cha enzi, wazee na vile viumbe hai vinne. wakaanguka kifudifudi mbele ya kiti cha enzi, wakamwabudu mungu,

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

エストニア語

ja kes vannub taeva juures, see vannub jumala aujärje juures ja tema juures, kes sellel istub.

スワヒリ語

na anayeapa kwa mbingu ameapa kwa kiti cha enzi cha mungu, na kwa huyo aketiye juu yake.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

エストニア語

ja naine tõi ilmale poeglapse, kes peab raudkepiga karjatama kõiki paganrahvaid. ja naise laps kisti jumala ja tema aujärje juurde.

スワヒリ語

kisha mama huyo akajifungua mtoto wa kiume, ambaye atayatawala mataifa yote kwa fimbo ya chuma. lakini mtoto akanyakuliwa na kupelekwa kwa mungu na kwenye kiti chake cha enzi.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

エストニア語

ja viies ingel valas välja oma kausi metsalise aujärje peale. ja tema kuningriik pimenes; ja nad närisid oma keelt valu pärast

スワヒリ語

kisha malaika wa tano akamwaga bakuli lake juu ya makao makuu ya yule mnyama. giza likauvamia utawala wake, watu wakauma ndimi zao kwa sababu za maumivu,

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

エストニア語

ja aujärje ümber oli kakskümmend neli aujärge; ja aujärgedel ma nägin istuvat kahtkümmend nelja vanemat, riietatud valgeisse riietesse ja kuldpärjad peas.

スワヒリ語

kulikuwa na duara la viti ishirini na vinne kukizunguka kiti cha enzi, na juu ya viti hivyo wazee ishirini na wanne walikuwa wameketi wamevaa mavazi meupe na taji za dhahabu vichwani.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

エストニア語

ja aujärje ees oli otsekui klaasmeri, mägikristalli sarnane; ja keset aujärge ja aujärje ümber oli neli olendit, täis silmi eest ja tagant.

スワヒリ語

mbele ya kiti cha enzi kulikuwa na kitu kama bahari ya kioo, angavu kama jiwe linga'aalo sana. katika pande zote za hicho kiti cha enzi na kukizunguka, kilikuwa na viumbe hai vinne. viumbe hivyo vilikuwa vimejaa macho mbele na nyuma.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

エストニア語

ja nemad laulsid uut laulu aujärje ees ja nende nelja olendi ja vanemate ees. ja ükski ei võinud seda laulu õppida kui aga need sada nelikümmend neli tuhat, kes on ära ostetud ilmamaalt.

スワヒリ語

walikuwa wanaimba wimbo mpya mbele ya kiti cha enzi na mbele ya wale viumbe hai wanne na wale wazee. hakuna mtu aliyeweza kujifunza wimbo huo isipokuwa hao watu mia moja arobaini na nne elfu waliokombolewa duniani.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

エストニア語

ja metsaline, keda ma nägin, oli pantri sarnane, ja tema jalad olid nagu karu jalad ja tema suu nagu lõukoera suu, ja lohe andis temale oma väe ja oma aujärje ja suure võimu.

スワヒリ語

mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake ilikuwa kama ya dubu, na kinywa chake kama cha simba. lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

エストニア語

heidavad need kakskümmend neli vanemat maha selle ette, kes aujärjel istub, ja nad kummardavad teda, kes elab ajastute ajastuteni, ja panevad oma pärjad maha aujärje ette ning ütlevad:

スワヒリ語

wale wazee ishirini na wanne hujiangusha mbele ya huyo aliyeketi juu ya kiti cha enzi na kumwabudu huyo ambaye anaishi milele na milele; na huziweka taji zao mbele ya kiti cha enzi wakisema:

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

エストニア語

johannes seitsmele aasia kogudusele: armu teile ja rahu sellelt, kes on ja kes oli ja kes tuleb; ja neilt seitsmelt vaimult, kes on tema aujärje ees;

スワヒリ語

mimi yohane nayaandikia makanisa yaliyoko mkoani asia. nawatakieni neema na amani kutoka kwake yeye aliyeko, aliyekuwako na anayekuja; na kutoka kwa roho saba walio mbele ya kiti chake cha enzi,

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

エストニア語

ja ma nägin surnuid, suuri ja pisukesi, seisvat aujärje ees, ja raamatud avati. ja teine raamat avati, see on eluraamat. ja surnutele mõisteti kohut sedamööda kuidas raamatuisse oli kirjutatud, nende tegude järgi.

スワヒリ語

kisha nikawaona watu wakubwa na wadogo, wamesimama mbele ya kiti cha enzi, na vitabu vikafunguliwa. halafu kitabu kingine, yaani kitabu cha uzima, kikafunguliwa pia. wafu wakahukumiwa kadiri ya matendo yao, kama ilivyoandikwa ndani ya vitabu hivyo.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,776,963,226 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK