検索ワード: heri na maisha mema (スワヒリ語 - アラビア語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

アラビア語

情報

スワヒリ語

heri na maisha mema

アラビア語

حياة مباركة وطيبة

最終更新: 2020-11-07
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

tuna wasiwasi na maisha yake baada ya kutokujulikana amepelekwa wapi baada ya hapo.

アラビア語

قلق ومخاوف على مصير باسل بعد ان اصبح وضعه مجهولا من جديد

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mungu anataka ninyi muwe watakatifu na mjiepushe kabisa na maisha ya zinaa.

アラビア語

لان هذه هي ارادة الله قداستكم. ان تمتنعوا عن الزنى

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mzee wa kitamaduni husimamia safari hii, ambapo tembo huacha maisha ya porini na kujiunga na maisha ya binadamu.

アラビア語

يرافق الشامان الفيل في رحلته الحاسمة من عالم الغابة إلى عالم البشر.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

utazikunjakunja kama koti, nazo zitabadilishwa kama vazi. lakini wewe ni yuleyule daima, na maisha yako hayatakoma."

アラビア語

وكرداء تطويها فتتغيّر ولكن انت انت وسنوك لن تفنى.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

ni lazima watu wetu wajifunze kuutumia wakati wao katika kutenda mema ili wasaidie katika mahitaji ya kweli, na maisha yao yawe ya kufaa.

アラビア語

وليتعلّم من لنا ايضا ان يمارسوا اعمالا حسنة للحاجات الضرورية حتى لا يكونوا بلا ثمر.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mfungwa huyo amewekwa ndani nchini syria kwa miaka minne na marafiki na wanaharakati wana wasiwasi na maisha yake baada ya kuhamishwa leo kutoka kwenye gereza alilokuwemo kwenda mahali kusikojulikana

アラビア語

باسل الصفدي مسجون منذ ما يقارب الأربعة أعوام ويخشى أصدقاؤه وناشطون على حياته بعد أن تم نقله اليوم من سجنه إلى مكان غير معروف.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kuhusu malengo makuu ya filamu yenyewe, madrefo anasema amekuwa na maisha magumu baada ya kesi yake, hakuruhusiwa kurudi kijijini kwake wala kuungana na familia.

アラビア語

بالنسبة لموضوع الفيلم نفسه، تقول مانديفرو أن حياتها كانت صعبة، فبعد تلك القضية، لم يُسمح لها بأن تعود إلى قريتها أو عائلتها.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na mungu mwenye heri na aliye mtawala pekee, mfalme wa wafalme, na bwana wa mabwana.

アラビア語

الذي سيبيّنه في اوقاته المبارك العزيز الوحيد ملك الملوك ورب الارباب

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

usikubali mtu yeyote akudharau kwa sababu wewe ni kijana, lakini jitahidi uwe mfano kwa wanaoamini: katika usemi wako, mwenendo wako, upendo, imani na maisha safi.

アラビア語

لا يستهن احد بحداثتك بل كن قدوة للمؤمنين في الكلام في التصرف في المحبة في الروح في الايمان في الطهارة.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ewe mwenyezi mungu hakika mimi nakutaka muelekezo kwa ujuzi wako, na nakuomba uniwezeshe kwa uwezo wako, na nakuomba fadhila zako kubwa, hakika wewe unaweza nami siwezi, nawe unajua nami sijui, na wewe ni mjuzi wa yale yaliyo fichikana. ewe mwenyezi mungu, iwapo jambo hili kutokana na ujuzi wako (atalitaja jambo lake) lina kheri na mimi katika dini yangu na maisha yangu na mwisho wa jambo langu (karibu au mbali) basi nakuomba uniwezeshe nilipate, na unifanyie wepesi, kisha unibariki, na iwapo unajua kwamba jambo hili ni shari kwangu katika dini yangu na maisha yangu na mwisho wa jambo langu (karibu au mbali) basi liepushe na mimi nami niepushe nalo, na nipangie jambo jengine lenye kheri na mimi popote lilipo kisha niridhishe kwalo. na hajuti mwenye kumtaka muelekeo mwenyezi mungu, na akawashauri waja waumini, na akajidhatiti katika jambo lake.

アラビア語

يأتي

最終更新: 2022-01-04
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
8,029,182,517 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK