検索ワード: pekee (スワヒリ語 - アラビア語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

Arabic

情報

Swahili

pekee

Arabic

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

アラビア語

情報

スワヒリ語

lakini hiyo si saudi arabia pekee.

アラビア語

لكن هذا فقط في المملكة العربية السعودية.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

india: gazeti pekee duniani linaloandikwa kwa mkono

アラビア語

الهند: آخر صحيفة تكتب بخط اليد في العالم

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baadhi ya wanablogu wanasema kuwa vyoo pekee vinaweza visiwe jibu.

アラビア語

بعض المدونين كانوا قد أشاروا إلى أنّ المراحيض فقط قد لا يكونوا الحلّ.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa hiyo watawaombea ninyi kwa moyo kwa sababu ya neema ya pekee aliyowajalieni mungu.

アラビア語

وبدعائهم لاجلكم مشتاقين اليكم من اجل نعمة الله الفائقة لديكم.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

timu yetu ya mashariki ya kati na afrika kaskazini inastahili kutambuliwa kwa uzito wa pekee mwaka huu.

アラビア語

فريقنا في الشرق الأوسط وشمال أفريقيا يستحق منا إشادة خاصة هذا العام.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mimi nimefanywa kuwa mtumishi wa habari njema kwa neema ya pekee aliyonijalia mungu kwa uwezo wake mkuu.

アラビア語

الذي صرت انا خادما له حسب موهبة نعمة الله المعطاة لي حسب فعل قوته.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mungu huipa hiyo mbegu mwili anaoutaka mwenyewe; kila mbegu hupata mwili wake wa pekee.

アラビア語

ولكن الله يعطيها جسما كما اراد ولكل واحد من البزور جسمه.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hali hii ndiyo inayozifanya habari zinazokuja kutoka mahali popote ambapo haki ya kujieleza imebanwa kuwa na uthamani wa pekee.

アラビア語

الأمر الذي يجعل الموضوعات التي تأتي من أي مكان حيث يوجد تضييق على حرية التعبير أمراً لا يقدر بثمن.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tumaini langu pekee ni kwamba tunaweza kuwa imara kiasi cha kutoa majibu yaliyo kinyume na yale yaliyotarajiwa na wahalifu wa mashambulizi haya.

アラビア語

وأملي الوحيد هو أن نبقى أقوياء لنعمل على توليد استجابة معاكسة لما كان يرغب به هؤلاء المجرمون.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tunatafuta habari ambazo zitatupa uelewa wa jamii husika, mabadilko yao au mafanikio yao, zinazosimuliwa kwa mtazamo pekee wa kibinafsi.

アラビア語

نبحث عن القصص التي تعطي المجتمع رؤية أكثر وضوحًا عن التحديات التي يواجهونها أو النجاحات التي تحققت، من منطلق شخصي فريد.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

miili mingine ni ya kidunia, lakini miili mingine inayahusu maeneo husika, nchi husika, na baadhi ya makabila pekee.

アラビア語

بعض الأجساد عالمية لكن معظم الأجساد تبقى محلية أقليمية وأثنية.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

@jenanmoussa: wanaharakati hapa aleppo hunicheka. mara nyingine mimi huwa ni mtu pekee anayevaa nguo ya kuzuia risasi nyumbani.

アラビア語

النشطاء هنا في حلب يضحكون مني، أنا في بعض الأحيان الوحيدة التي ترتدي سترة واقية من الرصاص في المنزل.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mungu hakumhurumia hata mwanae wa pekee, bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote. ikiwa amefanya hivyo, je, hatatujalia pia mema yote?

アラビア語

الذي لم يشفق على ابنه بل بذله لاجلنا اجمعين كيف لا يهبنا ايضا معه كل شيء.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

naye neno akawa mwanadamu, akakaa kwetu. nasi tumeuona utukufu wake, utukufu wake yeye aliye mwana wa pekee wa baba; amejaa neema na ukweli.

アラビア語

والكلمة صار جسدا وحلّ بيننا ورأينا مجده مجدا كما لوحيد من الآب مملوءا نعمة وحقا.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kufuatia maendeleo ya kiteknolojia siku hizi, ambayo yanasababisha magazeti katika muundo unaobebeka kuanza kupotea, na watu kusoma zaidi magazeti kwenye mtandao wa internet, uwepo wa gazeti hili ni tunu ya pekee.

アラビア語

مع التطورات العلمية الاخيرة.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hilo liko wazi kwa sababu papa hakuja nchini humu kuona kile kinachoitwa "ukweli, mema na mazuri" pekee. papa amekuja hapa kusikia matatizo ya watu masikini na wanaotengwa.

アラビア語

إنه أمرٌ مثير للسخرية حقاً إذ أن البابا لم يأت إلى هنا ليرى فقط " الخير والجمال"، لقد أتى لكي يستمع لمشاكل الفقراء والمهمشين.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

hapo, mtu mmoja katika lile kundi akapaaza sauti, akasema, "mwalimu! ninakusihi umwangalie mwanangu--mwanangu wa pekee!

アラビア語

واذا رجل من الجمع صرخ قائلا يا معلّم اطلب اليك. انظر الى ابني. فانه وحيد لي.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

al jazeera, kwa mfano, ilifanya wajibu wake kwa namna ya pekee katika kuripoti maandamano yaliyotokea katika nchi kadhaa za ki-arabu, lakini watumiaji wa mtandao wanasema shirika hilo linaonekana kupuuza matukio yanayoendelea nchini sudani.

アラビア語

الجزيرة، مثلاً لعبت دوراً بارزاً في تغطية الثورات في العديد من الدول العربية، لكن حسب ما يقوله مستخدمو الإنترنت يبدوا أنها تتجاهل الأحداث الجارية حالياً في السودان .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama lilivyo jina lake, filamu ya "difret" inawakilisha masuala mengi: ni kazi ya sanaa inayosimulia mkasa wa kweli unaohusu ujasiri na mabadiliko yanayoongozwa na msichana; ni filamu pekee iliyoandaliwa nchini ethiopia kwa picha ya milimeta 35l na tayari imepata heshima kubwa kwa kuandaliwa na mtayarishaji maarufu wa filamu, angelina jolie pitt.

アラビア語

يمثل فيلم “difret" أشياء كثيرة كعنوانه، إذ أنه عمل يستند إلى قصة حقيقية عن الشجاعة وإرادة التغيير.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,794,224,912 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK