検索ワード: bahati (スワヒリ語 - イタリア語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

Italian

情報

Swahili

bahati

Italian

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

イタリア語

情報

スワヒリ語

bahati nzuri

イタリア語

good luck

最終更新: 2012-10-16
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hakika yeye ni mwenye bahati kubwa.

イタリア語

gli è stata certo data immensa fortuna!”.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

matukio ya aina hii kwa bahati mbaya yamekuwa ya kawaida sana nchini lebanon.

イタリア語

storie come questa sono purtroppo molto comuni in libano.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini hawapewi wema huu ila wanao subiri, wala hawapewi ila wenye bahati kubwa.

イタリア語

ma ricevono questa [facoltà] solo coloro che pazientemente perseverano; ciò accade solo a chi già possiede un dono immenso.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hata hivyo, msichana huyo anapambana, na kwa bahati mbaya anafanikiwa kumwua mwanaume huyo.

イタリア語

ma lei combatte, e accidentalmente lo uccide.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

vita ni jinamizi la kweli, lakini bahati mbaya vilevile ndivyo ulivyo udikteta na gereza.

イタリア語

la guerra è un vero mostro, così come disgraziatamente la dittatura e il carcere.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na ninamwomba mola wangu mlezi; asaa nisiwe mwenye kukosa bahati kwa kumwomba mola wangu mlezi.

イタリア語

mi rivolgo al signore, ché certamente non sarò infelice nella mia invocazione al mio signore”.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tunayo bahati ya kuwa na kikundi cha watetezi wa mtandao huru na wataalamu wa sera kutoka duniani kote watakaoungana nasi kuwa majaji wa shindano hili.

イタリア語

fortunatamente, un gruppo composto da difensori dell'open internet e da esperti di politica da tutto il mondo si unirà a noi, come giudici del concorso.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa bahati mbaya, serikali za mitaa zisizofanya wajibu wake zinafanya maisha yake kuwa machungu na kwa kweli inafanya iwe vigumu kupata haki yake.

イタリア語

purtroppo il malfunzionamento del governo locale rende la sua vita difficile e viola così il suo diritto alla proprietà privata.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

bahati mbaya, katika bara la amerika kaskazini na nchi nyingine, mabadiliko ya teknolojia yamezidi kwa mbali kutengenezwa kwa sheria zinazodhibiti matumizi yake.

イタリア語

sfortunatamente, nel nord america e in altre nazioni, l'evoluzione della tecnologia ha sorpassato lo sviluppo di un regime legale inteso a regolamentare il suo utilizzo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hao wanaotoa maoni yao hapa, kwa bahati mbaya, hawajaweza kubadilisha mtizamo wangu, bali wameendelea kuimarisha msimamo wangu niliokuwa nao toka awali.

イタリア語

quelli che hanno qui commentato, sfortunatamente non mi hanno convinta del contrario.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hizi pengine ni nyakati ngumu kublogu kuhusu mada tete –jambo ambalo kwa bahati mbaya sana waandishi wengi wa global voices katika nchi nyingine nyingi wanakabiliana nalo.

イタリア語

si tratta di periodi particolarmente difficili per parlare di soggetti controversi - crudeltà vissuta anche dagli stessi autori di global voices di molte nazioni.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

naam, kila mwisho wa mwaka katika nchi zilizoendelea zaidi, uanweza kuona kampeni ambazo zinahimiza raia wake kutoa michango ya kupigana na umaskini katika nchi za mbali ambazo hazina bahati.

イタリア語

infatti, ad ogni fine d'anno, nei paesi più sviluppati, si lanciano simili campagne mirate a incoraggiare i cittadini a versare contributi per combattere la povertà in regioni più lontane e meno fortunate.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hivi karibuni , kuna mtawa aliyekamatwa akichukua picha za video za wanawake waliokuwa uchi ambao walikuwa wamekwenda kwenye monasteri ili kujichotea maji yanayoaminika kuwa ya baraka, ambapo inaaminika kwamba maji yanayotolewa na mtawa huyo huwaondolea watu bahati mbaya na kuwafutia mambo yote mabaya.

イタリア語

di recente un monaco è stato sorpreso a filmare alcune donne nude mentre si recavano nel suo monastero per compiere abluzioni sacre, pratica basata sulla credenza che l'acqua dei monaci prevenga eventi negativi o sia di buon auspicio.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa bahati mbaya, kuna vikundi vingi vya dini mpya vinavyojitangaza kama "wakristo", kwa hiyo ninakushauri utumie mtandao wa google kupata jina la kanisa au dini ya kujiunga nayo.

イタリア語

purtroppo ci sono migliaia di culti e nuove religioni che si definiscono "cristiane", perciò ti consiglio di cercare su google il nome di una certa chiesa o una certa religione.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kwa bahati mbaya, vikwazo kadhaa kutoka kwa watendaji wa serikali dhidi ya vyombo vya habari, hususani katika kipindi hiki, umetoa mwanya wa kuongezeka kwa hali ya sintofahamu kuhusiana na ugonjwa huu, na pia kuendelea kuongeza hali ya jamii kutokuamini uwepo wa ugojwa huu.

イタリア語

purtroppo, diverse azioni operate dal governo ai danni dei media, specialmente di questi tempi, sono servite solo a dare spazio a uno scetticismo crescente nei confronti della malattia, e ad un ulteriore inasprimento della negazione all'interno della comunità.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

akasema: mola wangu mlezi! mafupa yangu yamedhoofika, na kichwa kinameremeta kwa mvi; wala, mola wangu mlezi, sikuwa mwenye bahati mbaya kwa kukuomba wewe.

イタリア語

dicendo: “o signor mio, già sono stanche le mie ossa e sul mio capo brilla la canizie e non sono mai stato deluso invocandoti, o mio signore!

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,776,835,143 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK