プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
na katika usiku pia mtakase, na baada ya kusujudu.
glorificalo in una parte della notte e dopo la prosternazione.
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:
wanapo somewa aya za mwingi wa rehema huanguka kusujudu na kulia.
quando venivano recitati loro i segni del compassionevole, cadevano in prosternazione, piangendo.
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:
siku utakapo wekwa wazi mundi, na wataitwa kusujudu, lakini hawataweza,
il giorno in cui affronteranno gli orrori, saranno chiamati a prosternarsi, ma non potranno farlo:
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:
na wale wanao kesha kwa ajili ya mola wao mlezi kwa kusujudu na kusimama.
coloro che passano la notte prosternati e ritti davanti al loro signore;
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:
alama zao zi katika nyuso zao, kwa athari ya kusujudu. huu ndio mfano wao katika taurati.
il loro segno è, sui loro volti, la traccia della prosternazione: ecco l'immagine che ne dà di loro la torâh.
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:
afanyae ibada nyakati za usiku kwa kusujudu na kusimama akitahadhari na akhera, na akitaraji rehema za mola wake mlezi...
chi passa in devozione le ore della notte, prosternato e ritto, timorato per l'altra vita e speranzoso nella misericordia del suo signore...
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:
hakika wanao ziamini aya zetu ni hao tu ambao wakikumbushwa hizo, basi wao huanguka kusujudu, na humsabihi mola wao mlezi kwa kumhimidi, nao hawajivuni.
in verità credono nei nostri segni solo coloro che, quando vengono loro rammentati, si gettano in prosternazione, lodano il loro signore rendendogli gloria e non sono tronfi di orgoglio.
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:
na tuliagana na ibrahim na ismail: itakaseni nyumba yangu kwa ajili ya wanao izunguka kwa kut'ufu na wanao jitenga huko kwa ibada, na wanao inama na kusujudu.
e stabilimmo un patto con abramo e ismaele: “purificate la mia casa per coloro che vi gireranno attorno, vi si ritireranno, si inchineranno e si prosterneranno”.
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質: