プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
hapo ndipo taifa lote la israeli litakapookolewa, kama yesemavyo maandiko matakatifu: "mkombozi atakuja kutoka sioni, atauondoa uovu wa yakobo.
allora tutto israele sarà salvato come sta scritto: egli toglierà le empietà da giacobbe
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
kwake yeye aliye peke yake mungu, mkombozi wetu, uwe utukufu, ukuu, nguvu na mamlaka kwa njia ya kristo bwana wetu, tangu zama zote, sasa na hata milele! amina.
all'unico dio, nostro salvatore, per mezzo di gesù cristo nostro signore, gloria, maestà, forza e potenza prima di ogni tempo, ora e sempre. amen
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
kwa maana sitaki ninyi, akina ndugu, mkose kuijua siri hii takatifu, kusudi msiwe wenye busara machoni penu wenyewe: kwamba, kwa sehemu, kumekuwa na kutiwa uzito kwa hisi za israeli mpaka hesabu kamili ya watu wa mataifa iwe imeingia, na kwa namna hii israeli wote wataokolewa. kama ilivyoandikwa: “mkombozi atatoka katika sayuni na kuondolea mbali mazoea ya kutomwogopa mungu kutoka katika yakobo. na hili ndilo agano kwa upande wangu pamoja nao, nitakapoondolea mbali dhambi zao.” ni kweli, kuhusiana na habari njema wao ni adui kwa ajili yenu, lakini kuhusiana na kuchagua kwa mungu wao ni wapendwa kwa ajili ya mababu zao. kwa maana zawadi na mwito wa mungu si mambo ambayo yeye atajutia. kwa maana kama vile ninyi wakati mmoja mlivyokuwa hamtii mungu lakini sasa mmeonyeshwa rehema kwa sababu ya kutotii kwao, ndivyo pia hawa sasa wamekuwa wasiotii ikitokeza rehema kwenu, ili wao wenyewe pia waonyeshwe rehema sasa. kwa maana mungu amewafunga wote pamoja katika kutotii, ili awaonyeshe wao wote rehema.
poiché non voglio, fratelli, che ignoriate questo sacro segreto, affinché non siate discreti ai vostri occhi: che un intorpidimento della sensibilità è avvenuto in parte a israele finché non sia entrato il numero completo* delle persone delle nazioni, e in questa maniera tutto israele sarà salvato. come è scritto: “il liberatore uscirà da sion e allontanerà da giacobbe le pratiche empie. e questo è da parte mia il patto con loro, quando toglierò i loro peccati”. certo, in riferimento alla buona notizia essi sono nemici a causa vostra, ma in riferimento all’elezione [di dio]* sono diletti a causa dei loro antenati. poiché i doni e la chiamata di dio non sono cose di cui egli si rammarichi. poiché come voi una volta foste disubbidienti a dio, ma ora vi è stata mostrata misericordia a causa della loro disubbidienza, così anche questi sono stati ora disubbidienti risultandone a voi misericordia, affinché anche a loro sia ora mostrata misericordia. poiché dio li ha rinchiusi tutti insieme nella disubbidienza, per mostrare a tutti loro misericordia.
最終更新: 2013-03-07
使用頻度: 1
品質:
参照: