検索ワード: kiitwacho (スワヒリ語 - スペイン語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

Spanish

情報

Swahili

kiitwacho

Spanish

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

スペイン語

情報

スワヒリ語

2012 mei: maandamano mjini zanzibari yakihusishwa na kikundi cha kidini kinachodai kujitenga kiitwacho uamsho

スペイン語

2012 mayo: revueltas en zanzíbar relacionadas con uamsho

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nchini ufilipino, kikundi cha wafanyakazi kiitwacho kilusang mayo uno kilikatishwa tamaa na sera za kazi zinazotekelezwa na serikali:

スペイン語

en las filipinas, el grupo laboral kilusang mayo uno está decepcionado con la política laboral del gobierno:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kony alikuwa kiongozi rasmi wa waasi wa lra mwaka 1988, baada ya kuwaunganisha masalia ya chama kilichokufa cha alice lakwena kiitwacho holy spirit movement.

スペイン語

kony se convirtió efectivamente en líder del lra en 1988, luego de juntar apresuradamente los remanentes y otras sobras del derrotado movimiento del espíritu santo de alice lakwena.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kundi la wanazuoni na maprofesa kutoka katika shule hiyo waliandaa video yenye masimulizi ya watu hawa, ambayo ilizinduliwa hivi karibuni na kituo cha televisheni kiitwacho narco news tv.

スペイン語

un grupo de académicos y profesores de la escuela produjeron un video con sus historias, que hace poco fue exhibido por narco news tv.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mchungaji wa ki-naijeria esther ibanga akiwa na viongozi wa kiislam mjini jos kutoa mwito wa kurudishwa kwa wasichana wa chibok waliokuwa wametekwa na kikundi cha kigaidi kiitwacho boko haram.

スペイン語

la pastora nigeriana esther ibanga se unió a líderes musulmanas de la ciudad de jos para pedir el regreso de las jóvenes de chibok secuestradas por boko haram.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

makala na taarifa hii ya habari iliyoandaliwa na shirin jaafari kwa ajili ya kipindi cha redio kiitwacho the world kwa mara ya kwanza ilionekana kwenye tovuti ya pri.org siku ya tarehe 26 februari 2015, inachapishwa tena chini ya makubaliano ya ushirikiano wa maudhui.

スペイン語

este artículo e informe de radio de shirin jaafari para el programa the world apareció originalmente en pri.org el 26 de febrero de 2015, y se republica como parte de un acuerdo para compartir contenidos.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika toleo hili la mazungumzo ya gv, tunazungumza na mwanablogu wa kiethiopia na mwanachama wa zone 9 endalk, sambamba na deji olukotun wa shirika la pen american freedom to write na mhariri wa kitengo cha utetezi cha gv kiitwacho advox ellery biddle kuhusu umuhimu wa keshi hii.

スペイン語

en esta edición de gv face, hablamos con endalk, bloguero etíope y miembro de zone 9, junto con el investigador de pen america freedom to write, deji olukotun, y la editora de advox, ellery biddle, sobre este importante caso.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwandishi kutoka kwenye chombo cha habari cha mtandaoni kiitwacho novatv, sashka cvetkovska, aliiambia radio free ulaya kwamba walikuwa wamepewa ruhusa na polisi kupiga picha na kuchukua vieo za ghasia hizo, lakini mambo yanaonekana yalibadilika wakati polisi walipoanza kuwakamata waandamanaji:

スペイン語

sashka cvetkovska, periodista del portal web nova tv, dijo a radio free europe que al principio, las autoridades les habían concedido permiso para hacer fotos y vídeos de los distutbios, pero las cosas parecieron cambiar cuando la policía comenzó a arrestar a los manifestantes:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

esther ibanga, mchungaji wa mji wa jos na mwanzilishi wa kikundi kiitwacho wanawake wasio na mipaka, anasema alitegemea dunia ingetazama kwa uzito ugaidi unaofanywa na kikundi cha boko haram kinachochukua mamia, na pengine maelfu ya maisha ya wa-naijeria.

スペイン語

esther ibanga, pastora de la ciudad de jos y fundadora de un grupo llamado women without walls, afirma que habría esperado que el mundo hubiera prestado más atención al asalto del grupo boko haram que acabó con cientos, o quizás miles, de vidas nigerianas.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,786,416,234 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK