検索ワード: unafiki (スワヒリ語 - スペイン語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

スペイン語

情報

スワヒリ語

unafiki

スペイン語

hipocresía

最終更新: 2015-05-27
使用頻度: 13
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

unafiki katika ngazi fulani umeiumiza nchi hii na bila ya shaka unaendelea kutukwaza.

スペイン語

la hipocresía en ciertos grupos ha herido al país y aparentemente continúa paralizándonos.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

mapendo yenu na yawe bila unafiki wowote. chukieni jambo lolote ovu, zingatieni jema.

スペイン語

el amor sea sin fingimiento, aborreciendo lo malo y adhiriéndoos a lo bueno

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

kulipuka kwa ushabiki huu wa hofu ya ushoga ni ushahidi wa unafiki unaotawala maisha ya siasa ya afrika.

スペイン語

esta explosión de homofobia frenética es el epítome de la hipocresía que domina el escenario político de África.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

tofauti kati ya maneno yao na vitendo hatimaye viliwekwa wazi kama unafiki na undumilakuwili kwa watu wao na kwa dunia.

スペイン語

la dicotomía entre su retórica y sus acciones fue expuesta finalmente como hipócritica y duplicada a su pueblo y al mundo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

waafrika kusini weupe wachache asmbao ni wahafidhina wamejiunga na pambano la kwenye ulimwengu wa blogu na wanauonyesha unafiki.

スペイン語

unos pocos sudafricanos blancos de la vieja escuela se unieron a las peleas en la blogósfera, señalando la hipocresía.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

ni ajabu namna tunayoonyesha unafiki wa hali ya juu tunapokabiliwa na hali ngumu na bado tukawa na uwezo wa kugeuka mara moja hali ya hewa inapoharibika.

スペイン語

es muy extraño cómo desplegamos tanta hipocresía cuando enfrentamos algo de adversidad y aun podemos dar muy pronunciadas curvas en u una vez que el clima se enfurece.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

amina ni mfungwa wa unafiki wa kisiasa nchini tunisia na kimya cha wale wanaojidai kuwa wanademokrasia lakini hawajaribu kuonyesha msimamo katika vita hivi vinavyoendelea.

スペイン語

amina es prisionera de la hipocresía política tunecina y el silencio de aquellos que afirman ser demócratas pero no se atreven a tomar partido en esta batalla en curso.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

karibuni kwenye unafiki na kujidanganya ambavyo kwa pamoja vinadunda katikati ya roho mitazamo ya kihafidhina ya kidini juu ya wanawake na uadilifu katika kufanya mapenzi.

スペイン語

bienvenidos a la hipocresía y la negación que laten juntas en los corazones de las visiones religiosas conservadoras sobre la mujer y la castidad.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

wavuti hiyo ilitengenezwa kupambana na tabia ya kupuuzia masuala muhimu, unafiki na tabia ya kutokujitoa kwa moyo kunakofanywa na marafiki na jamaa zetu katika uchaguzi ujao wa naijeria.

スペイン語

takeastand fue creado para combatir el desinterés, los discursos de doble intención y la falta de compromiso de parte de nuestros amigos y colegas con relación a las próximas elecciones nigerianas.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

スワヒリ語

wakati watu kwa maelfu walipokuwa wamekusanyika hata wakawa wanakanyagana, yesu aliwaambia kwanza wanafunzi wake, "jihadharini na chachu ya mafarisayo, yaani unafiki.

スペイン語

en esto, habiéndose juntado una multitud de miles y miles, tanto que se pisoteaban unos a otros, él comenzó a decir primeramente a sus discípulos: "guardaos de la levadura de los fariseos, que es la hipocresía

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

anengiyefa anaona kwamba uganda imeona unafiki wa wabunge waliungana na wako tayari kupitisha sheria ya kuufanya ushoga kuwa kosa kwa jina la maadili; hii inalishinda kusudi la kwa nini mfumo uko makini kuyafanya mahusiano ya hiari baina ya watu wawili wazima wa jinsia moja yawe jinai na kuacha masuala muhimu kama mapigano ya kikabila, ukabila, ukimwi, ukabaji wa watotot nk:

スペイン語

anengiyefa ve que uganda acaba de darse cuenta de la hipocresía de los miembros del parlamento que han unificado y están listos para aprobar una ley que victimiza a la homosexualidad en nombre de la moralidad. esta es la respuesta a la pregunta de por qué el sistema está tan ansioso por penalizar el sexo consensuado entre dos adultos del mismo sexo y a la vez el estado omite temas más importantes como lo son la violencia étnica, el tribalismo, el sida, el abuso sexual a menores de edad, etc:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

人による翻訳を得て
7,789,835,215 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK