プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
akawaambia, nendeni nanyi mkafanye kazi katika shamba la mizabibu, nami nitawapeni haki yenu.
und sprach zu ihnen: gehet ihr auch hin in den weinberg; ich will euch geben, was recht ist.
最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:
nitawapeni mfano unaofaa kuonyesha alivyo yeyote yule anayekuja kwangu, akasikia maneno yangu na kuyatimiza:
wer zu mir kommt und hört meine rede und tut sie, den will ich euch zeigen, wem er gleich ist.
最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:
ndugu, nitawapeni mfano kutoka maisha yetu ya kila siku. fikirini juu ya mkataba kati ya watu wawili. mkataba ukisha fanyika na kutiwa sahihi hapana mtu anayeuweka kando au kuuongezea kitu.
liebe brüder, ich will nach menschlicher weise reden: verwirft man doch eines menschen testament nicht, wenn es bestätigt ist, und tut auch nichts dazu.
最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:
usiogope hata kidogo yale ambayo itakulazimu kuteseka. sikiliza! ibilisi anataka kuwajaribu kwa kuwatia baadhi yenu gerezani; nanyi mtapata dhiki kwa muda wa siku kumi. muwe waaminifu hata mpaka kufa, nami nitawapeni taji ya uzima.
fürchte dich vor der keinem, das du leiden wirst! siehe, der teufel wird etliche von euch ins gefängnis werfen, auf daß ihr versucht werdet, und werdet trübsal haben zehn tage. sei getrost bis an den tod, so will ich dir die krone des lebens geben.
最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質: