検索ワード: kikundi (スワヒリ語 - フランス語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

French

情報

Swahili

kikundi

French

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

フランス語

情報

スワヒリ語

kama inavyoeleza blogu ya kikundi ya mavaffanculp:

フランス語

comme l'explique le blog collectif mavaffanculp :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

(wakieneza): hakika hawa ni kikundi kidogo.

フランス語

«ce sont, en fait, une bande peu nombreuse,

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kisha kikundi katika hao hugeuka baada ya hayo.

フランス語

puis après cela, une partie d'entre eux fait volte-face.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

picha kutoka ukursa wa facebook wa kikundi hicho.

フランス語

photo de la page facebook du groupe.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hatukutarajia serikali iwafayie hivyo utafikiri ni kikundi cha waasi.

フランス語

nous n'imaginions pas que le pouvoir agirait comme avec un groupe rebelle.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

yuda alikuwa mmoja wa kikundi chetu maana alichaguliwa ashiriki huduma yetu.

フランス語

il était compté parmi nous, et il avait part au même ministère.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwanzilishi wa kikundi cha kijeshi kilichofutwa nchini pakistani ajitolea kuisaidia marekani.

フランス語

pakistan : le fondateur d'un mouvement militant interdit offre de l'aide aux usa

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika tamko lake kwa taifa, rais kenyatta hakutaja kuhusika kwa kikundi chochote.

フランス語

dans son adresse à la nation, le président kenyatta n'avait pas assigné la responsabilité à un mouvement particulier.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

je! ati ndio kila wanapo funga ahadi huwapo kikundi miongoni mwao kikaivunja?

フランス語

faudrait-il chaque fois qu'ils concluent un pacte, qu'une partie d'entre eux le dénonce?

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ni nadra kwa wafanyakazi katika kikundi hiki cha hatari huhitaji kutumia mashine ya kusaidia kupumua.

フランス語

les travailleurs de ce groupe de risque ont rarement besoin d’utiliser des masques respiratoires.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

2012 mei: maandamano mjini zanzibari yakihusishwa na kikundi cha kidini kinachodai kujitenga kiitwacho uamsho

フランス語

mai 2012 : émeutes à zanzibar liées au uamsho

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

gaby silva aliweka video kwneye mtandao wa instagram inayoonyesha maandamano yaliyofanywa na kikundi cha wavenezuela jijini madrid.

フランス語

gaby silva a publié une vidéo sur instagram montrant le rassemblement d'un groupe de vénézuéliens à madrid.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

b'virusi vya korona ni kikundi cha virusi vinayohusiana vinavyosababisha magonjwa miongoni mwa wanyama na ndege.

フランス語

les coronavirus sont un groupe de virus apparentés qui causent des pathologies chez les mammifères et les oiseaux.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hatua hiyo inakuja baada ya hamas, kikundi kinachoitawala gaza, kukataa pendekezo la kumaliza mapigano lililotolewa na misri.

フランス語

l'escalade suit le rejet par le hamas, au pouvoir à gaza, d'une trêve négociée par l'egypte.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nakaribisha mawazo yote, zaidi ya hayo, kuondoka kwenye kikundi ni vizuri kwa sababu bila kutoka nje, kuingia kusingekuwapo tena.

フランス語

je salut toutes les idées.de surcroît, sortir du groupe c'est bon car sans sortir entrer n'existerait plus.

最終更新: 2022-08-18
使用頻度: 3
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

je wajasiriamali wa afrika wanaweza kujua jinsi ya kuunganisha kanuni falsafa ubuntu za utawala bora na ambao kikundi huja kabla ya mtu binafsi?

フランス語

les entrepreneurs africains sauront-ils utiliser les préceptes de la gouvernance d’entreprise pour mettre l’approche solidaire, la primauté du groupe sur l’individu au service de l’entreprise ?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kikundi kinachojulikana kama jukwaa la ndovu kenya kinaongoza jamii ya kiraia ya kenya katika upinzani dhidi ya biashraa ya pembe za ndovu na yameandaa maelezo muhimu kuhusu suala hilo.

フランス語

un groupe, le kenya elephant forum, a pris la tête de l'opposition des associations kenyanes dans la campagne contre la vente d'ivoire, et a publié des données sur le sujet.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baadae, kikundi cha wanazuoni wa kiislamu walijibu kwa hasira madai hayo ya wanamgambo wa al-shabaab kwamba matendo yao yalifanywa kwa kutumia jina la uislam.

フランス語

peu après, un groupe d'érudits musulmans a réagi avec colère aux affirmations des membres supposés d'al-chabab que leur opération a été commise au nom de l'islam.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kutokana na haya, plasma iliyokusanywa kutoka kwa damu za kikundi cha wagonjwa ambao walipona kutokana na covid-19 ilitumika kuwadunga wagonjwa 10 waliokuwa katika hali mbaya sana.

フランス語

du plasma a ainsi été extrait du sang d’un groupe de patients ayant guéri de la covid-19 et injecté à 10 malades gravement atteints.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika mkesha wa mapinduzi mwaka 2011 wanachama wa kikundi hicho cha “wasiojitambulisha” waliotawanyika duniani kote walishambulia tovuti kadhaa za serikali katika kile kilichoitwa operation tunisia.

フランス語

a la veille de la révolution de 2011, les membres d'anonymous mondial avaient ciblé plusieurs sites internet gouvernementaux dans ce qui avait été appelé opération tunisie. anonymous a aussi récemment lancé des attaques en ligne contre les islamistes tunisiens.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,781,516,106 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK