検索ワード: kuwapo (スワヒリ語 - フランス語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

French

情報

Swahili

kuwapo

French

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

フランス語

情報

スワヒリ語

baada ya hayo nikaona hekalu limefunguliwa mbinguni, na ndani yake hema ionyeshayo kuwapo kwa mungu.

フランス語

après cela, je regardai, et le temple du tabernacle du témoignage fut ouvert dans le ciel.

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

sheria hiyo inatoa adhabu ya kifungo jela kwa yeyote ambaye hatatoa taarifa za kuwapo kwa raia anayefanya vitendo vya kishoga kwa mamlaka za kiserikali na vile vile sheria hiyo inatoa hukumu kwa mtu yeyote kutumia mitandao ya kijamii kama facebook na twita kwa minajili ya kupigania haki za mashoga kitendo kinachotafsiriwa na sheria hiyo kuwa ni cha jinai na hukumu yake ni kifungo kisichozidi miaka saba jela.

フランス語

il prévoit également des peines de prison pour toute personne qui ne dénonce pas les homosexuels aux autorités et punit l'utilisation de comptes facebook et twitter pour les droits des homosexuels, avec un maximum de sept ans de prison.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

habari za kuibuliwa kwa kashfa hii zimepokelewa kwa miitikio mbalimbali kwa (kuwapo) baadhi ya raia watumiao mtandao kuunga mkono hatua hizo za serikali wakati huo huo wengine wakionyesha kutokubaliana na rais kwa namna anavyoshughulikia masuala ya kitaifa.

フランス語

les récentes révélations ont été accueillies par des réactions mitigées, avec quelques internautes soutenant les actions du gouvernement tandis que d'autres étaient ouvertement en désaccord avec la manière dont le président traitait les affaires nationales.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ubaguzi wa rangi, uwepo wa matabaka, ubaguzi wa watu wa jinsia tofauti, hofu ya ushoga, kutovumiliana kidini pamoja na upendeleo wa aina nyingine vinaweza kuwapo na vipo katika jamii yetu, lakini havipaswi kuwepo kisheria.

フランス語

le racisme, l'antagonisme de classe, le sexisme, l'homophobie, l'intolérance religieuse et les autres préjugés existent bel et bien dans notre société, mais ils ne doivent pas êtres couverts par la loi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ingawa serikali imewaahidi kupatikana kwa ajira, elimu, na huduma za afya katika vijiji hivi. watafiti wa shirika la kutetea haki za binadamu (human rights watch) hawajapata ushahidi au wamepata ushahidi mdogo tu wa kuwapo kwa huduma hizi.

フランス語

en dépit des promesses d'amélioration de l'accès à l'emploi, à l'éducation et aux services de santé dans ces villages, des chercheurs de human rights watch ont trouvé peu de traces de ces services, voire pas du tout.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,788,791,866 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK