検索ワード: majadiliano (スワヒリ語 - フランス語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

フランス語

情報

スワヒリ語

majadiliano

フランス語

kwenye mengi pana mengi

最終更新: 2021-05-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mada kumi za majadiliano

フランス語

dix thèmes de discussion

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

majadiliano haya yanaendelea lakini huenda yakacheleweshwa.

フランス語

ces discussions se poursuivent mais pourraient être ajournées.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano yasiyo na maana.

フランス語

quelques-uns, s`étant détournés de ces choses, se sont égarés dans de vains discours;

最終更新: 2012-05-05
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ni kweli majadiliano ni makali miongoni mwa mashehe wa dini wenyewe.

フランス語

bien entendu le débat est bien plus animé parmi les clercs eux-mêmes.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kuna majadiliano mengi kwenye mtandao wa twita kuhusu kipindi hiki:

フランス語

de nombreuses discussions ont lieu dans la twittersphère, provoquées par cette émission :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

majadiliano kuhusu mustakabali wa hija na omra mwaka huu bado ni suala linaloendelea.

フランス語

la question de l’avenir des pèlerinages « hij » et omra cette année est encore problématique.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

video hiyo inawaonyesha wananchi hao wakitoa mwito wa haki, amani na majadiliano.

フランス語

on peut voir dans cette vidéo que les citoyens réclament la justice, la paix et le dialogue.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kumekuwa na majadiliano ya #ebolachat kuhusu masuala mengi kuliko unavyoweza kufikiri

フランス語

il y a des sessions #ebolachat sur tous les sujets possibles et imaginables.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

gumzo la tarehe 6 mwezi wa 3 litajenga mada iliyoletwa katika majadiliano yaliofanikiwa wiki iliyopita.

フランス語

la discussion du 6 mars approfondira la discussion réussie de la semaine dernière.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

pia sina shaka kuwa majadiliano tutakayo kuwa nayo, wakati tutakapokuwa pamoja yote yatakuwa ya thamani kwa wote.

フランス語

je suis également certain que les discussions que nous aurons, les moments que nous partagerons, seront enrichissants avec des souvenirs précieux pour toute la vie.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lakini nina mtazamo kuwa majadiliano ya wazi bado yanatakiwa kati ya serikali na wataalamu wa syariah ili kutatua suala hili.

フランス語

mais je pense que l'ouverture d'un débat entre le gouvernement et les experts de la charia sur la manière de traiter cette question est toujours nécessaire.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kesho, naibu katibu wa masuala ya afrika katika serikali ya marekani anatarajiwa kuwasili goma kusaidia majadiliano.

フランス語

demain, le conseiller pour l'afrique du secrétaire d'État américain devrait arriver à goma pour participer aux négociations.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

majadiliano ya siku hiyo yalikuwa ni sehemu ya kongamano kubwa la wavuti na jamii lililoandaliwa na kituo cha berkman cha wavuti na jamii chuoni harvard.

フランス語

le débat de cette journée avait lieu dans le cadre d'une conférence plus importante, la internet and society conference, organisée par le berkman center for internet and society.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mradi huo unatumia mtandao wa twita kuposti habari zinazohusiana na ebola kila siku na kuratibu majadiliano yanayohusu virusi vya eloba kati ya wataalam na umma wa wananchi.

フランス語

l'organisation se sert de twitter pour poster quotidiennement des informations sur le virus ebola et organise des chats sur ebola entre les experts et le public :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hivi karibuni kumekuwepo na majadiliano mengi kuhusu sheria za kudhibiti vitendo vya ukatili vya ngono. lakini hakuna anayelipa uzito suala la usalama wa wasichana wa mitaani.

フランス語

bien qu'il y ait eu de grands débats sur les lois contre les abus sexuels, personne ne pense réellement aux enfants et adolescents qui vivent dans les rues.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

jamii ya mtandaoni ya côte d'ivoire inayo maoni katika matukio hayo, na ifuatayo ni picha ya haraka ya majadiliano machache:

フランス語

les internautes ivoiriens ont commenté ces événements, et voici une brève revue de quelques échanges. les détenus de la maca font peur

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wakati kampeni kwa ajili ya kuongeza uelewano na majadiliano dhidi ya ubaguzi wa rangi kwenye uwanja kumeongezeka katika miaka michache iliyopita katika ulaya, swala mara chache hushughulikiwa ndani ya viwanja vya soka nchini brazil.

フランス語

les campagnes pour sensibiliser contre le racisme sur les terrains de foot se sont intensifiées en europe ces dernières années mais le sujet est rarement abordé à l'intérieur des stades au brésil.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

jibu la kawaida (mara nyingi likikusudia kuhitimisha majadiliano zaidi) ninalolisikia katika mijadala kuhusu vyombo vya habari vya kijamii ni kwamba watu wengi hawajaunganishwa na mtandao wa intaneti.

フランス語

un réponse courante que j'écoute (souvent destinée à mettre fin à toute conversation) dans les discussions sur les médias sociaux en tanzanie, c'est que la plupart des gens n'ont pas accès à l'internet.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kila mmoja wetu anaweza kuwa amefika katika eneo hilo... kwa nini hatuwezi kujifunza somo lolote kutokana na matetemeko ya awali ... aibu kwa waongo wanaokuja kwenye televisheni na majadiliano juu ya mafanikio yao ya kuongeza upinzani kwa majengo ya kukabiliana na matetemeko ya ardhi katika iran.

フランス語

chacun de nous aurait pu être là-bas... pourquoi est-ce que nous ne retenons aucune leçon des précédents séismes... honte aux menteurs qui viennent à la télé parler de ce qu'ils ont faits pour accroître la résistance des bâtiments aux tremblements de terre en iran.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
8,920,163,645 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK