プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
jua huchomoza na kwa joto lake kali hukausha mimea, nayo maua yake huanguka, na uzuri wake wote huharibika. vivyo hivyo, tajiri ataangamizwa katika shughuli zake.
exortus est enim sol cum ardore et arefecit faenum et flos eius decidit et decor vultus eius deperiit ita et dives in itineribus suis marcesce
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
shabaha yake ni kuthibitisha imani yenu. hata dhahabu yenyewe ambayo huharibika, hujaribiwa kwa moto; hali kadhalika na imani yenu ambayo ni ya thamani zaidi kuliko dhahabu, ni lazima ijaribiwe ipate kuwa thabiti. hapo mtapokea sifa na utukufu na heshima siku ile yesu kristo atakapofunuliwa.
ut probatum vestrae fidei multo pretiosius sit auro quod perit per ignem probato inveniatur in laudem et gloriam et honorem in revelatione iesu christ
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質: