検索ワード: mtoto wa nguruwe (スワヒリ語 - ラテン語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

Latin

情報

Swahili

mtoto wa nguruwe

Latin

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

ラテン語

情報

スワヒリ語

utachukua mimba, utamzaa mtoto wa kiume na utampa jina yesu.

ラテン語

ecce concipies in utero et paries filium et vocabis nomen eius iesu

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati wa kujifungua kwake elisabeti ulifika, akajifungua mtoto wa kiume.

ラテン語

elisabeth autem impletum est tempus pariendi et peperit filiu

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini hakumjua kamwe kimwili hata maria alipojifungua mtoto wa kiume. naye yosefu akampa jina yesu.

ラテン語

et non cognoscebat eam donec peperit filium suum primogenitum et vocavit nomen eius iesu

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

joka lilipotambua kwamba limetupwa chini duniani, likaanza kumwinda yule mama aliyekuwa amejifungua mtoto wa kiume.

ラテン語

et postquam vidit draco quod proiectus est in terram persecutus est mulierem quae peperit masculu

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

maana kila aliye mtoto wa mungu anaweza kuushinda ulimwengu. hivi ndivyo tunavyoushinda ulimwengu: kwa imani yetu.

ラテン語

quoniam omne quod natum est ex deo vincit mundum et haec est victoria quae vincit mundum fides nostr

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

atajifungua mtoto wa kiume, nawe utampa jina yesu, kwa kuwa yeye atawaokoa watu wake kutoka katika dhambi zao."

ラテン語

pariet autem filium et vocabis nomen eius iesum ipse enim salvum faciet populum suum a peccatis eoru

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kila mtu anayeamini kwamba yesu ni kristo, huyo ni mtoto wa mungu; na, anayempenda mzazi humpenda pia mtoto wa huyo mzazi.

ラテン語

omnis qui credit quoniam iesus est christus ex deo natus est et omnis qui diligit eum qui genuit diligit eum qui natus est ex e

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wapenzi wangu, tupendane, maana upendo hutoka kwa mungu. kila mtu aliye na upendo ni mtoto wa mungu, na anamjua mungu.

ラテン語

carissimi diligamus invicem quoniam caritas ex deo est et omnis qui diligit ex deo natus est et cognoscit deu

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini mtoto wa kiume wa dada yake paulo alisikia juu ya mpango huo; hivyo akaenda ndani ya ngome, akamjulisha paulo juu ya njama hiyo.

ラテン語

quod cum audisset filius sororis pauli insidias venit et intravit in castra nuntiavitque paul

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kisha mama huyo akajifungua mtoto wa kiume, ambaye atayatawala mataifa yote kwa fimbo ya chuma. lakini mtoto akanyakuliwa na kupelekwa kwa mungu na kwenye kiti chake cha enzi.

ラテン語

et peperit filium masculum qui recturus erit omnes gentes in virga ferrea et raptus est filius eius ad deum et ad thronum eiu

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

basi, alipokuwa anakaribia lango la mji, walitokea watu wamebeba maiti ya kijana mmoja, mtoto wa pekee wa mama mjane. watu wengi wa mji ule walikuwa pamoja na huyo mama.

ラテン語

cum autem adpropinquaret portae civitatis et ecce defunctus efferebatur filius unicus matri suae et haec vidua erat et turba civitatis multa cum ill

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini malaika akamwambia, "zakariya, usiogope, kwa maana sala yako imesikilizwa, na elisabeti mkeo atakuzalia mtoto wa kiume, nawe utampa jina yohane.

ラテン語

ait autem ad illum angelus ne timeas zaccharia quoniam exaudita est deprecatio tua et uxor tua elisabeth pariet tibi filium et vocabis nomen eius iohanne

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

"uambieni mji wa sioni: tazama, mfalme wako anakujia! ni mpole na amepanda punda, mwana punda, mtoto wa punda."

ラテン語

dicite filiae sion ecce rex tuus venit tibi mansuetus et sedens super asinam et pullum filium subiugali

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

lakini maandiko matakatifu yasemaje? yasema: "mfukuze mama mtumwa pamoja na mwanawe; maana mtoto wa mtumwa hatarithi pamoja na mtoto wa mama huru."

ラテン語

sed quid dicit scriptura eice ancillam et filium eius non enim heres erit filius ancillae cum filio libera

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

akasema, "mdanganyifu wa kupindukia na mlaghai wewe! wewe ni mtoto wa ibilisi! wewe ni adui wa chochote kile kilicho cha kweli; hukomi hata mara moja kujaribu kuzipotosha njia za bwana zilizonyoka.

ラテン語

dixit o plene omni dolo et omni fallacia fili diaboli inimice omnis iustitiae non desinis subvertere vias domini recta

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

baada ya kumwondoa saulo, mungu alimteua daudi kuwa mfalme wao. mungu alionyesha kibali chake kwake akisema: nimemwona daudi mtoto wa yese; ni mtu anayepatana na moyo wangu; mtu ambaye atatimiza yale yote ninayotaka kuyatenda.

ラテン語

et amoto illo suscitavit illis david regem cui et testimonium perhibens dixit inveni david filium iesse virum secundum cor meum qui faciet omnes voluntates mea

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

je, ni nani kati ya hawa wawili aliyetimiza matakwa ya baba yake?" wakamjibu, "yule mtoto wa kwanza." basi, yesu akawaambia, "kweli nawaambieni, watoza ushuru na waasherati wataingia katika ufalme wa mungu kabla yenu.

ラテン語

quis ex duobus fecit voluntatem patris dicunt novissimus dicit illis iesus amen dico vobis quia publicani et meretrices praecedunt vos in regno de

最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
7,791,454,833 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK