プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
theluthi moja ya viumbe vya baharini vikafa na theluthi moja ya meli zikaharibiwa.
et mortua est tertia pars creaturae quae habent animas et tertia pars navium interii
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
malaika wa pili akapiga tarumbeta yake. na kitu kama mlima mkubwa unaowaka moto ukatupwa baharini. theluthi moja ya bahari ikawa damu,
et secundus angelus tuba cecinit et tamquam mons magnus igne ardens missus est in mare et facta est tertia pars maris sangui
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
naye akawafungulia malaika hao wanne ambao walikuwa wametayarishwa kwa ajili ya saa hiyo ya siku ya mwezi huo, wa mwaka huohuo, kuua theluthi moja ya wanaadamu.
et soluti sunt quattuor angeli qui parati erant in horam et diem et mensem et annum ut occiderent tertiam partem hominu
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
kisha malaika wa tatu akapiga tarumbeta yake. na nyota kubwa ikiwaka kama bonge la moto, ikaanguka kutoka mbinguni, na kutua juu ya theluthi moja ya mito na chemchemi za maji.
et tertius angelus tuba cecinit et cecidit de caelo stella magna ardens tamquam facula et cecidit in tertiam partem fluminum et in fontes aquaru
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
joka hilo liliburuta kwa mkia wake theluthi moja ya nyota za anga na kuzitupa duniani. nalo lilisimama mbele ya huyo mama aliyekuwa karibu kujifungua mtoto, tayari kabisa kummeza mtoto, mara tu atakapozaliwa.
et cauda eius trahebat tertiam partem stellarum caeli et misit eas in terram et draco stetit ante mulierem quae erat paritura ut cum peperisset filium eius devorare
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
malaika wa kwanza akapiga tarumbeta yake. mchanganyiko wa mvua ya mawe na moto, pamoja na damu, ukamwagwa juu ya nchi. theluthi moja ya nchi ikaungua, theluthi moja ya miti ikaungua, na majani yote mabichi yakaungua.
et primus tuba cecinit et facta est grando et ignis mixta in sanguine et missum est in terram et tertia pars terrae conbusta est et tertia pars arborum conbusta est et omne faenum viride conbustum es
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質:
kisha malaika wa nne akapiga tarumbeta yake. ndipo theluthi moja ya jua, ya mwezi na ya nyota ikapata pigo; hata mwangaza ukapoteza theluthi moja ya mng'ao wake. theluthi moja ya mchana ikakosa mwanga, hali kadhalika na theluthi moja ya usiku.
et quartus angelus tuba cecinit et percussa est tertia pars solis et tertia pars lunae et tertia pars stellarum ut obscuraretur tertia pars eorum et diei non luceret pars tertia et nox similite
最終更新: 2012-05-04
使用頻度: 1
品質: