検索ワード: afadhali (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

afadhali

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

- si afadhali ununue jipya, hilo ni bora zaidi.

英語

- get a new one it’s better

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

afadhali uwaage watu waende mashambani na katika vijiji vya jirani, wanunue chakula."

英語

send them away, that they may go into the country round about, and into the villages, and buy themselves bread: for they have nothing to eat.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

iliyobakia ni afadhali kwenu kumsamehe mtu huyo na kumpa moyo ili asije akahuzunika mno na kukata tamaa kabisa.

英語

so that contrariwise ye ought rather to forgive him, and comfort him, lest perhaps such a one should be swallowed up with overmuch sorrow.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mnawezaje kujivuna? ingekuwa afadhali kwenu kuomboleza, na huyo aliyefanya kitu hicho aondolewe miongoni mwenu.

英語

and ye are puffed up, and have not rather mourned, that he that hath done this deed might be taken away from among you.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

je, hamwoni kwamba ni afadhali kwenu mtu mmoja afe kwa ajili ya watu, kuliko taifa zima liangamizwe?"

英語

nor consider that it is expedient for us, that one man should die for the people, and that the whole nation perish not.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kutahiriwa kwako kutakuwa na maana kama ukiitii sheria. lakini kama unaivunja sheria, basi, ni afadhali ungalibaki bila kutahiriwa.

英語

for circumcision verily profiteth, if thou keep the law: but if thou be a breaker of the law, thy circumcision is made uncircumcision.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nayajua mambo yako yote! najua kwamba wewe si baridi wala si moto. afadhali ungekuwa kimojawapo: baridi au moto.

英語

i know thy works, that thou art neither cold nor hot: i would thou wert cold or hot.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

msiwaogope wale wauao mwili, lakini hawawezi kuiua roho. afadhali zaidi kumwogopa yule awezaye kuuangamiza mwili pamoja na roho katika moto wa jehanamu.

英語

and fear not them which kill the body, but are not able to kill the soul: but rather fear him which is able to destroy both soul and body in hell.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ruhusa ya kwenda hospitali, halafu kuwa na ratiba iliyojaa muda mwingi na mwanao –ni afadhali kuliko kukaa kwenye seli ya magereza, wanadai.

英語

hospital leave, then lots of scheduled time with your child – it is all better than sitting in a stone cell, they claim.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini kwa sababu ya upendo, ni afadhali zaidi nikuombe. nafanya hivi ingawa mimi ni paulo, balozi wa kristo yesu, na sasa pia mfungwa kwa ajili yake.

英語

yet for love's sake i rather beseech thee, being such an one as paul the aged, and now also a prisoner of jesus christ.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwanamke asiyefunika kichwa chake, afadhali anyoe nywele zake. lakini ni aibu kwa mwanamke kukatwa nywele zake au kunyolewa; basi, afadhali afunike kichwa chake.

英語

for if the woman be not covered, let her also be shorn: but if it be a shame for a woman to be shorn or shaven, let her be covered.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

maana kama mshtaki wako anakupeleka mahakamani, ingekuwa afadhali kwako kupatana naye mkiwa bado njiani, ili asije akakupeleka mbele ya hakimu, naye hakimu akakutoa kwa polisi, nao wakakutia ndani.

英語

when thou goest with thine adversary to the magistrate, as thou art in the way, give diligence that thou mayest be delivered from him; lest he hale thee to the judge, and the judge deliver thee to the officer, and the officer cast thee into prison.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na kama jicho lako likikukosesha, ling'oe na kulitupa mbali nawe. ni afadhali kwako kuingia katika uzima ukiwa chongo, kuliko kutupwa katika moto wa jehanamu ukiwa na macho yako yote mawili.

英語

and if thine eye offend thee, pluck it out, and cast it from thee: it is better for thee to enter into life with one eye, rather than having two eyes to be cast into hell fire.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

basi, kama jicho lako la kulia linakukosesha, ling'oe ukalitupe mbali. afadhali zaidi kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako, kuliko mwili wako wote kutupwa katika moto wa jehanamu.

英語

and if thy right eye offend thee, pluck it out, and cast it from thee: for it is profitable for thee that one of thy members should perish, and not that thy whole body should be cast into hell.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

@chikwe1: ban ki moon kama kupinga ushoga #homosexuality kunanifanya #mshamba basi ni afadhali #niishi na #kufanikiwa mshamba kuliko kinyume chake.

英語

@chikwe1: ban ki moona if denouncing #homosexuality makes me a #savage then i'd rather #live and #die a savage than otherwise.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,793,677,790 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK