検索ワード: ajentina (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

ajentina

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

la pampa ikiishangilia timu ya taifa ya ajentina.

英語

la pampa spurs on the argentina national football team.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ajentina ilifungwa na ujerumani magharibi katika fainali:

英語

argentina went on to lose to west germany in the final:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ajentina: dokumentari kuhusu wenyeji wa mjini yatafuta tafsiri ya maandishi

英語

argentina: documentary on urban natives looking for subtitles · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ajentina inacheza na ujerumani kwenye fainali za kombe la dunia jumapili, julai 13.

英語

argentina plays germany in the world cup final on sunday, july 13.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wa-ajentina wanataka kulipiza kisasi, na sasa wanahitaji tu kusubiri mpaka jumapili:

英語

the argentines want revenge, and now they only need to wait until sunday:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

gabriela anaandika kuhusu miaka yake 30 katika nchi ya ajentina tangu alipoondoka paraguai ili aweze kuwasaidia wazazi wake kutafuta pesa.

英語

gabriela writes about her 30 years in argentina having left paraguay behind in order to help her parents earn money.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

furaha ilikuwa kubwa huko tucumán, jiji lilikuwa msitari wa mbele kwa uhuru wa ajentina na lilikuwa shahidi wa matukio ya mwaka 1816.

英語

the delight was especially palpable in tucumán, a city that played a leading role in the argentinian independence and was an important witness to the events of 1816.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mara ya mwisho kwa ajentina kufika kwenye hatua ya fainali za kombe la dunia ilikuwa mwaka 1990, mashindano yalipofanyika nchini italia na ujerumani magharibi ilitwaa kombe hilo.

英語

the last time that argentina reached the final of the world cup was 1990, when the tournament took place in italy and west germany was crowned the champion.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwenye blogu yake viajes y relatos, laura schneider anasimulia uzoefu wake alipotembelea puerto deseado, mji ulioko kwenye jimbo la santa cruz, ajentina.

英語

on her blog viajes y relatos, laura schneider shares her experience visiting puerto deseado, in the province of santa cruz, argentina.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

harraca alilieleza gazeti la ajentina clarín kwamba baada ya kuthibitisha kwamba walikuwa wamekata tiketi kwa ajili ya kushuhudia mpambano huo wa ajentina, yeye na rafiki zake walitaka kufanya jambo tofauti kusherehekea.

英語

harraca explained to argentinian newspaper clarín that after confirming that they had tickets to see argentina play, him and a group of friends wanted to do something different to celebrate.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika jiji la rosario, walikozaliwa lionel messi, Ángel di maría na maxi rodríguez, wachezaji watatu nyota wa kikosi cha ajentina, wakazi walisherehekea kama ifuatavyo:

英語

in the city of rosario, where lionel messi, Ángel di maría and maxi rodríguez, three players from the argentinian squad, were born, residents celebrated like this:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

maeneo mengi maarufu ya ajentina yaligeuzwa kuwa maeneo ya sherehe, na katika hali ya kushangaza, wa-ajentina waliokuwa kwenye ufukwe wa copacabana nchini brazili walisherehekea pia:

英語

the most iconic locations in argentina were transformed into party venues and, unsurprisingly, the argentines at brazil's copacabana beach also celebrated:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mashairi, yalikuwa na mahadhi ya 'bad moon rising', unaokumbusha ushindi wa ajentina dhidi ya brazil kwenye fainali za kombe la dunia mwaka 1990 nchini italia.

英語

the lyrics, set to the melody of creedence clearwater rival's "bad moon rising," refer to argentina's win over brazil in the 1990 world cup in italy.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

brazili itapokea kitita kisichopungua dola milioni 20 kwa kufuzu kwake nusu fainali ya kombe la dunia, lakini timu hiyo bado ina fursa ya kushinda dola milioni 2 nyinginezo kama itaishinda uholanzi, iliyopoteza mchezo wake dhidi ya ajentina, katika mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu wa mashindano hayo.

英語

brazil will receive a minimum of $20 million for its semifinal run in the world cup, but the team still has an opportunity to win an extra $2 million if it defeats the netherlands, who lost to argentina, in the third-place game.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baada ya kushinda dhidi ya uholanzi kwa mikwaju ya penati 4-2 mnamo julai 9, ajentina inasonga mbele kufikia fainali kwa mara nyingine ikipambana na ujerumani siku ya jumapili, julai 13 katika uwanja wa estádio jornalista mário filho,ukifahamika zaidi kama maracanã.

英語

after winning against the netherlands in a penalty shootout 4-2 on july 9, argentina will advance to the final once again and dual germany for the title on sunday, july 13 in the estádio jornalista mário filho, better known as the maracanã.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,792,413,559 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK