検索ワード: aligundua (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

aligundua

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

mmiliki aligundua mchezo wao na kuwaarifu walinzi.

英語

the owner noticed what had happened and asked for help from security guards.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

michelle aligundua hivi karibuni vitisho kadhaa vinavyosumbua dhidi maisha yake vilivyotumwa kwenye youtube na tovuti nyingine.

英語

michelle recently discovered several disturbing threats on her life posted on youtube and other websites.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini pia aligundua kwamba ingempasa kusafiri umbali mrefu ili kujifungulia zawadi yake hiyo ya siku ya wapendanao, na kwa hiyo haikumshangaza.

英語

she found out just how long she would have to travel to unveil her belated valentine ’s day gift and was not amused.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

victor alionesha uzalendo wa kweli kwa nchi yake hata pale alipokuwa akifanya kazi na taasisi ya straight talk foundation ya kampala, alipokuwa akikutana na watu katika shughuli zake aligundua kuwa watu wa kaskazini mwa uganda kuna mengine zaidi walistahili na walihitaji mbali na vipeperushi.

英語

victor’s heart was home even when he worked with straight talk foundation in kampala, interacting with the people in the field made him realize that the people of northern uganda wanted more than hand outs but wanted and deserved more.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

sovichet tep, ambaye ni mwanafunzi wa shule ya upili na miongoni mwa wanablogu wadogo kabisa nchini cambodia, pia, aligundua hali ya kuongezeka kwa umuhimu wa uanahabari wa kijamii nchini mwake:

英語

sovichet tep, a high school student and one of the country's youngest bloggers, also noticed the growing importance of social media in the country:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

gerald bäck wa bäck blog, anayefanya kazi ya biashara ya uangalizi wa vyombo vya habari, aligundua kuwa idadi kuu ya maingizo ya twita, yaani idadi maalumu ya wafuatiliaji yanayoipata wao, ilikuwa 386,860.

英語

gerald bäck of bäck blog, who works in the media observation business, found out that the gross reach of the tweets, i.e. the unique number of followers exposed to them, was 386,860.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa mujibu wa taarifa, mpwa wa rais, mbugua na mchumba wake wahito, waliuawa kwa risasi wakati wa shambulio hilo na kwa maelezo ya walioshuhudia tukio hilo, mbugua alikuwa amefanikiwa kutoka kwenye jengo hilo na baadae aligundua kuwa mchumba wake alikuwa bado yumo kwenye jengo.

英語

according to reports, the president’s nephew, mbugua and his fiancée wahito, were shot dead during the attack and from a witness account, mbugua had made it safely out of the building when he realised that his fiancee was still stuck in the building.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mnamo tarehe 30 juni, 2012, kituo cha sayansi katika mji wa kabul, kilitangaza kuwa khalilullah yaqubi, mwanafunzi wa shule ya sekondari kutoka katika jimbo la ghazni, kwa juhudi zake mwenyewe aligundua kanuni ya kimahesabu inayoweza kutumika katika kukokotoa milinganyo ya kwadratiki ya mtajo mmoja ya ukomo wa kipeo cha pili.

英語

on 30 june, 2012 the center of science in kabul announced that khalilullah yaqubi, a high school student from ghazni province, had independently discovered a mathematical formula that can be used to solve 'second-degree quadratic equations with one unknown'.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,745,733,014 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK