プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
alipowaona petro na yohane wakiingia hekaluni, aliwaomba wampe chochote.
who seeing peter and john about to go into the temple asked an alms.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
kisha yesu akaingia nyumbani kwa yule ofisa. na alipowaona wapiga filimbi na umati wa watu wanaofanya matanga,
and when jesus came into the ruler's house, and saw the minstrels and the people making a noise,
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
alipowaona akawaambia, "nendeni mkajionyeshe kwa makuhani." basi, ikawa walipokuwa wanakwenda, wakatakasika.
and when he saw them, he said unto them, go shew yourselves unto the priests. and it came to pass, that, as they went, they were cleansed.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
ndugu wa kule roma walipopata habari zetu, wakaja kutulaki kwenye soko la apio na mikahawa mitatu. paulo alipowaona alimshukuru mungu, akapata moyo.
and from thence, when the brethren heard of us, they came to meet us as far as appiiforum, and the three taverns: whom when paul saw, he thanked god, and took courage.
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
lakini alipowaona mafarisayo wengi na masadukayo wanamjia ili awabatize, aliwaambia, "enyi kizazi cha nyoka! ni nani aliyewadokezea kwamba mnaweza kuiepuka ghadhabu inayokuja?
but when he saw many of the pharisees and sadducees come to his baptism, he said unto them, o generation of vipers, who hath warned you to flee from the wrath to come?
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
basi, yesu aligeuka, na alipowaona hao wanafunzi wanamfuata, akawauliza, "mnatafuta nini?" nao wakamjibu, "rabi (yaani mwalimu), unakaa wapi?"
then jesus turned, and saw them following, and saith unto them, what seek ye? they said unto him, rabbi, (which is to say, being interpreted, master,) where dwellest thou?
最終更新: 2024-02-20
使用頻度: 3
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています