検索ワード: amani utupe na ustawi (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

amani utupe na ustawi

英語

give us peace and prosperity

最終更新: 2017-05-18
使用頻度: 2
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

amani na ustawi

英語

最終更新: 2021-01-12
使用頻度: 2
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ili kuwa na afya njema na ustawi na uwezo wa kutulia tena, ni muhimu kufahamu walipo ndugu na jamaa, usalama wao, na uwezo wao wa kuendelea kuwasiliana.

英語

for refugee's health and well-being and ability to resettle, it is vital to know the whereabouts of relatives, their safety, and their ability to remain in contact.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwalimu mwenye uzoefu, mwenye shauku na mwenye umakini na mzungumzaji wa asili wa kiswahili ambaye amejitolea kulinda na kukuza elimu na ustawi wa watoto na vijana wakati wote. caroline anapenda sana kuwapa watoto wadogo na watu wazima elimu bora zaidi maishani.

英語

an experienced, enthusiastic and focused teacher and a native swahili speaker who is committed to safeguarding and promoting the education and well being of children and young people at all times. caroline is passionate about giving young children and adults the best possible education in life.

最終更新: 2020-05-16
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kama mtu ambaye ndiyo mara yake ya kwanza kwenda rwanda, ni vigumu mtu kutoshangazwa na kutoshabihiana kati ya matukio ya kutisha sana yaliyotokea miaka 15 iliyopita na hali inayoonekana kuwa ya utulivu mkubwa na ustawi wa aina yake inayotawala sasa nchini humo, ambapo nchi hiyo inaonekana kuwa kiini cha uchumi unashamiri kwa kasi wa afrika ya mashariki.

英語

as i first-time visitor to rwanda, it’s hard not to be mystified by the mismatch between the ferocious events of just 15 years ago and apparent calm and prosperity in rwanda, which aspires to be the hub of an economically vibrant east africa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wizara ya afya na ustawi wa jamii jijini banjul tayari imeanzisha laini ya simu inayopatikana masaa 24 kupitia mitandao yote nchini humo. kampeni ya #ebolafreegambia inatofautiana na jitihada nyingine zinazochukuliwa na wizara ya afya zinazolenga kuwaelimisha wa-gambia.

英語

the ministry of health and social welfare in banjul has already established a 24-hour information hotline from any network within the country. #ebolafreegambia campaign is different from the efforts by the ministry of health to sensitize gambians.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

walitumia data (1989 - 2008) kutokana na taftishi ya msingi ya mfumo wa ujira (賃金構造基本統計調査) inayojulikana kama bsws ya wizara ya afya, kazi na ustawi wa jamii.

英語

they used the data (1989-2008) from basic survey on wage structure (賃金構造基本統計調査) (bsws) of the ministry of health, labour and welfare.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ripoti ya matatizo ya kimazingira yanayoathiri uzalishaji wa vyakula utangulizi: mazingira yanacheza jukumu muhimu katika uzalishaji wa vyakula. hata hivyo, katika mazingira yetu nchini, kuna matatizo kadhaa ya kimazingira ambayo yanaweza kuathiri uzalishaji wa vyakula. ripoti hii inalenga kubainisha matatizo hayo na kutoa mapendekezo ya jinsi ya kuyatatua ili kuhakikisha usalama wa chakula na ustawi wa kilimo. matatizo na mapendekezo: uharibifu wa ardhi: matatizo: uharibifu wa ar

英語

report on environmental problems affecting food production introduction: the environment plays an important role in food production. however, in our environment in the country, there are several environmental problems that can affect food production. this report aims to identify these problems and make recommendations on how to address them in order to ensure food security and farm viability. problems and recommendations: land degradation: problems: arthritis

最終更新: 2024-04-23
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,792,754,323 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK