検索ワード: amesimama (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

amesimama

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

anayedhani amesimama imara ajihadhari asianguke.

英語

wherefore let him that thinketh he standeth take heed lest he fall.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini walipomwona yule mtu aliyeponywa amesimama pamoja nao, hawakuweza kusema kitu.

英語

and beholding the man which was healed standing with them, they could say nothing against it.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baada ya kusema hayo, aligeuka nyuma, akamwona yesu amesimama hapo, lakini asitambue ya kuwa ni yesu.

英語

and when she had thus said, she turned herself back, and saw jesus standing, and knew not that it was jesus.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

waliposikia hivyo, wakaanza kutoweka mmojammoja, wakitanguliwa na wazee. yesu akabaki peke yake, na yule mwanamke amesimama palepale.

英語

and they which heard it, being convicted by their own conscience, went out one by one, beginning at the eldest, even unto the last: and jesus was left alone, and the woman standing in the midst.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

huyo msichana aliitambua sauti ya petro akafurahi mno, hata badala ya kuufungua ule mlango, akakimbilia ndani na kuwaambia kwamba petro alikuwa amesimama nje mlangoni.

英語

and when she knew peter's voice, she opened not the gate for gladness, but ran in, and told how peter stood before the gate.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

yeye alitueleza jinsi alivyokuwa amemwona malaika amesimama nyumbani mwake na kumwambia: mtume mtu yopa akamwite mtu mmoja aitwaye simoni, kwa jina lingine petro.

英語

and he shewed us how he had seen an angel in his house, which stood and said unto him, send men to joppa, and call for simon, whose surname is peter;

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kisha nikaona mlima sioni, na mwanakondoo amesimama juu yake; pamoja naye walikuwa watu mia moja arobaini na nne elfu ambao juu ya paji za nyuso zao walikuwa wameandikwa jina la mwanakondoo na jina la baba yake.

英語

and i looked, and, lo, a lamb stood on the mount sion, and with him an hundred forty and four thousand, having his father's name written in their foreheads.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nao wakamjibu, "yesu wa nazareti!" yesu akawaambia, "mimi ndiye." msaliti yuda alikuwa amesimama hapo pamoja nao.

英語

they answered him, jesus of nazareth. jesus saith unto them, i am he. and judas also, which betrayed him, stood with them.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

lakini petro alikuwa amesimama nje, karibu na mlango. basi, huyo mwanafunzi mwingine aliyekuwa anajulikana kwa kuhani mkuu alitoka nje akasema na mjakazi, mngoja mlango, akamwingiza petro ndani.

英語

but peter stood at the door without. then went out that other disciple, which was known unto the high priest, and spake unto her that kept the door, and brought in peter.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

lakini yule mtoza ushuru, akiwa amesimama kwa mbali bila hata kuinua macho yake mbinguni, ila tu akijipiga kifua kwa huzuni, alisema: ee mungu, unionee huruma mimi mwenye dhambi.

英語

and the publican, standing afar off, would not lift up so much as his eyes unto heaven, but smote upon his breast, saying, god be merciful to me a sinner.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,790,614,025 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK