検索ワード: anapata kwikwi (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

anapata kwikwi

英語

he gets a thousand

最終更新: 2020-09-04
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mtoto anapata chakula bora muda wote

英語

nutritious

最終更新: 2016-06-26
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nicky: “je, nani anapata hiyo baht 3?

英語

nicky: "who get that 3 baht?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kickmugabeout anatumai kuwa aliyekuwa kiongozi wa awb anapata mateso ya milele.

英語

kickmugabeout hopes the former awb leader suffers eternal torment.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sasa wakati anapata wakati mgumu wa kuirudisha malawi kutoka kwenye uharibifu uliokwishatokea.

英語

now is having problems in taking the country from the hades of destructions.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katika video hii nyingine tunamtembelea kevin irungu, kijana wa kiume ambaye anapata kipato chake kutokana na sanaa:

英語

in this other video we visit kevin irungu, a young man who earns a living from his art:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mvunaji anapata mshahara wake, na anakusanya mavuno kwa ajili ya uzima wa milele; hivyo mpandaji na mvunaji watafurahi pamoja.

英語

and he that reapeth receiveth wages, and gathereth fruit unto life eternal: that both he that soweth and he that reapeth may rejoice together.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hii haikuwa ziara ya kwanza ya rais nje ya nchi kukutana na madaktari wa kigeni. lakini ilikuwa ni mara ya kwanza kwa maafisa wa serikali kukiri kwamba rais alikuwa anapata matibabu.

英語

this wasn't the president's first trip abroad to meet with foreign doctors, but it was the first time state officials admitted to sata's medical needs.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baadhi ya taarifa zinasema kuwa mtoto wa kike wa qahwaji anasumbuliwa na saratani na anapata matibabu huko jordani na kwamba qahwaji hakuweza kumtembelea na ailiamua kujiunguza kwa moto ili kuishinikiza mamlaka ya palestina imsaidie fedha ili akamjulie hali mtoto wake.

英語

some reports said that qahwaji's daughter suffers from cancer, and is actually being treated in jordan, and that he could not afford to visit her.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

@kamungah: @mediamk intani wanasaidia, kampuni inasaidika wakati ambapo intani anapata ujuzi wa kazi ambapo kila mtu ananufaika.

英語

@kamungah: @mediamk interns contribute, companies gain as interns get required skills.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ifahamike kwamba uhalisia ufuatao haukutiliwa maanani: kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitabibu, mimba inapotolewa, mtoto huwa anapata maumivu sawasawa na ya mtoto aliyezaliwa kawaida na akakuzwa halafu akateswa hadi kufa.

英語

it must be noted, that the following fact was not taken into consideration: according to a series of scientific medical researches, a child that is being aborted experiences the same level of suffering as a grown up person who is being tortured to death.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

anapata laki sita hadi saba kwa mwaka kutoka kwenye korosho na laki nne kutoka ufuta jumla ni milioni kwa mwaka ambayo ni sawa na 83333.3/= kwa mwezi na anatumia 5000/= kwa siku ambayo ni sawa na 150000/= kwa mwezi

英語

he gets six to seven thousand a year from cashew nuts and four thousand from sesame total is a million a year which equals 83333.3 / = per month and he uses 5000 / = a day which equals 150000 / = a month

最終更新: 2020-01-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,742,894,419 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK