検索ワード: asiyefunywa na mamaye hufunzwa na ulimwengu (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

asiyefunywa na mamaye hufunzwa na ulimwengu

英語

he who is not taught by his mother is taught by the world

最終更新: 2021-10-31
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na mamaye na babaye,

英語

and his mother and his father

最終更新: 2023-08-22
使用頻度: 4
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lakini tunapohukumiwa na bwana, tunafunzwa tuwe na nidhamu, ili tusije tukahukumiwa pamoja na ulimwengu.

英語

but when we are judged, we are chastened of the lord, that we should not be condemned with the world.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

watu wengi wanatumia kazi kama njia ya kushughulikia dhiki yao na ulimwengu wetu.

英語

many people use work as a way of channeling their stress with the world around us.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

amekuwa ni kipenzi cha india, amekwezwa na kupendwa na wahindi wote na kutangazwa na vyombo vya habari vya india na ulimwengu wote.

英語

she became a darling of india, pampered and loved by all indians and projected by indian and world media.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

niko kinyume na ulimwengu wote -2pac (nkurunziza anaonekana mkono wa kuume)

英語

it's me against the world - 2pac (nkurunziza is on the extreme right) #nkurunzizaplaylist pic.twitter.com/qk4ekkwkyy — allan ssenyonga (@ssojo81) may 13, 2015

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

pamoja na kutuacha, anaendelea kuzungumza na ulimwengu kupitia watumiaji wa twita, ambao waliitikia habari za kifo chake kwa kusambaza maneno yake.

英語

despite his passing, he continues to speak to the world through twitter users, who have reacted to news of his death by sharing his words.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

tahadhari imekuwepo na ulimwengu ni lazima ujiandae kwa janga linalokuja la sars-cov-2.

英語

the alarm has been ringing and the world has to prepare for the coming pandemic of sars-cov-2.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

dini iliyo safi na isiyo na hitilafu mbele ya mungu baba ni hii: kuwasaidia yatima na wajane katika shida zao, na kujilinda mwenyewe usichafuliwe na ulimwengu huu.

英語

pure religion and undefiled before god and the father is this, to visit the fatherless and widows in their affliction, and to keep himself unspotted from the world.

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hizi ni hatua tunazoamini ni muhimu katika kuungana mkono ili tuweze kuendelea kufanya kazi, kuipa harakati yetu msaada unaohitajika, na ulimwengu huduma wanayoweza kutegemea.

英語

these are the steps we believe are necessary to support this one another so that we can continue to work, provide our movement with the support they need, and the world with the service they rely on.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lakini jambo la kipekee kuhusu malkia rania ni kwamba yeye ni muarabu pekee maarufu anayetumia mtandao wa intaneti kwa ajili ya mazungumzo na ulimwengu wa magharibi ili kutetea mtazamo wa wastani wa kiislamu.

英語

but what is unique about queen rania is that she is the only arab figure who uses the internet to engage in a dialogue with the west to promote a moderate islamic speech.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

sehemu ya filamu hiyo iitwayo “zambia: shaba nzuri, shaba mbaya” iliripotiwa na ulimwengu wa blogu na zambian economist.

英語

the clip “zambia: good copper, bad copper” was first reported in the blogosphere by the zambian economist.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

misitu imekuwa ikihifadhiwa kwa ajili ya vizazi, shukrani kwa juhudi za watu walioishi kwa amani na ulimwengu uwazungukao, hali iliyochangiwa na maarifa ya mababu zao ya umilikaji wa rasilimali pamoja na ushiriki hai wa kila jamii.

英語

the forest has been preserved for generations, thanks to the work of people who have lived in harmony with the world around them, by means of ancestral knowledge of resource management and active participation of each community.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mkutano huo una kaulimbiu inayosema “visiwa vimeunganishwa : são tomé + príncipe = Áfrika vimeunganishwa na ulimwengu" na utafanyika tarehe 20 juni.

英語

the event has “islands connected : são tomé + príncipe = África connected to the world" as a theme and is going to take place on 20 june.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

tuma ujumbe kupitia mtandao wa twitter, facebook au google+ ukiwaambia rafiki zako na ulimwengu kuhusu zoezi la kuandikishwa na haja ya kujiandikisha kwa kutumia alama za #iregistered na #ghanadecides.

英語

tweet or post a facebook or google+ update telling your friends and the world about the registration exercise and the need to register with the hashtags #iregistered and #ghanadecides.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

@mohammedy: kwa waandishi walio misri na ulimwengu wa kiarabu: waandishi wa habari wanaofanya kazi katika islamonline wanatendewa vibaya na uongozi wao mpya ili kuwanyamazisha kutoa matamko dhidi ya vitendo vibaya vya uendeshaji kampuni.

英語

@mohammedy: to journos in egypt & arab world: journalists @ #islamonline r being bullied by new management into silence against bad company practices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

sisi tulio nje ya haiti tunaweza tu kujenga picha kichwani kuhusu hali halisi ya maisha ya kila siku yalivyo huko baada ya tetemeko baya la ardhi - lakini katikati ya juhudi za kuwatafuta wapendwa ndugu, juhudi za kuwahudumia waliojeruhiwa na jukumu zito na gumu la kuwafikishia msaada wa kiutu wale wanaouhitaji zaidi - wanablogu walio huko port-au-prince na maeneo ya jirani wanawasiliana na ulimwengu wa nje, ambao nao unahangaika kutaka kupata taarifa kutoka kwa wale waliokuwa katika eneo lenyewe kabisa la janga.

英語

those of us outside of haiti can only imagine the stark reality of daily life in the earthquake's aftermath - but amidst attempts to find loved ones, efforts to administer to the wounded and the overwhelming task of getting relief to those who most need it - bloggers in and around port-au-prince are finding the time to communicate with the outside world, which is desperate for news from those closest to the disaster.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,793,775,251 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK