人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。
プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
baada ya akmal kudungwa sindano ya sumu, serikali ya uingereza na baadhi ya mashirika ya kupigania haki yalijibu vikali.
after the inject of akmal by lethal injection, the british government and some right organizations reacted fiercely.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
ninayo orodha nyingine ambayo pia ina majina ya mashirika ya misaada na wanahabari walioko kwenye eneo la tukio.
i have a separate list which also contains aid organizations and reporters on the ground.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
kwa mujibu wa ripoti kutoka idhaa ya televisheni ya uingereza channel 4 (iliyotangazwa bila kujali amri ya kuyazuia mashirika ya nje kutangaza habari) umati wa watu ulitupa mawe na kuchoma moto jingo linalomilikiwa na wanamgambo wanaoiunga mkono serikali, wajulikanao kama basij.
according to a report on britain's channel 4 television, (aired in spite of a foreign reporting ban) a crowd threw rocks and set fire to a building that belonged to the pro-government basij militia.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。