検索ワード: fanya hii kuwa video inayoangaziwa (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

fanya hii kuwa video inayoangaziwa

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

niligundua jana kuwa video iliyokuwa inamwonyesha ivanov akisema chirac alikuwa rais wa marekani imeondolewa.

英語

i saw yesterday that the video where ivanov said chirac was president of the us was removed.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

jambo hilo pekee limeifanya jitihada hii kuwa ya thamani.

英語

that in itself has made the entire enterprise worthwhile.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na haiwezekani qur'ani hii kuwa imetungwa na haitoki kwa mwenyezi mungu.

英語

and this qur'an is not such as could be fabricated as against allah.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

pasi na shaka video hii itakuwa iliwachukua muda mwingi kuiandaa, kwani watayarishaji walisema kuwa video hii ilirekodiwa katika muda ule ule na kwa wakati mmoja, kwa kutumia kamera moja na haikuhusisha marekebisho mengine mara baada ya kurekodiwa.

英語

the video must have taken a lot of preparation, since the authors say it was shot in real time, in one take, using only one camera, and did not involve any post-editing.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nimesoma mahali kwamba zambia ni nchi pekee ambayo imeifanya siku hii kuwa ya mapumziko ya kitaifa kuwapa fursa raia wake kuadhimisha siku hiyo.

英語

i've read zambia is one of only four countries where it's a nat'l holiday.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika publimetro , camilo andrés garcía cortés anasema kuwa video hii yaweza kuwa inafanya historia kwa kuwa video iliyotazamwa mara mengi zaidi nchini colombia, kwa sababu ishapata kutazamwa mara laki tano baada ya masiku mawili tu.

英語

on publimetro , camilo andrés garcía cortés states that the video may be making history as the most watched colombian citizen video, due to its half a million views during only two days.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nigerian curiosity anaandika kuhusu kesi ya uzoma okere huko naijeria: "uzoma okere ni msichana wa kinaijeria ambaye kipigo alichopata kutoka kwa maafisa wa jeshi kiliondokea kuwa video iliyosambazwa sana na kuamsha hasira za wengi."

英語

nigerian curiosity writes about the case of uzoma okere in nigeria: "uzoma okere is the young nigerian lady whose assault by military officers became a viral video that raised the ire of many."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

guatemala ina maeneo19 ya uoto asilia, 300 yenye hali ya hewa tofauti, zaidi ya maeneo ya volkeno 37, mito, maziwa na fukwe ambavyo vinaungana na utofauti wetu wa makabila na kuifanya nchi hii kuwa ya ajabu na ya kupendeza.

英語

guatemala has like 19 ecosystems, 300 microclimates, more than 37 volcanoes, rivers, lakes and beaches that are united in our ethnic diversity forming a destination of mystical magic and adventure.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

gedrosia (@gedrosian), mtumiaji wa twita kutoka katika jimbo la balochistan, aliongeza kuwa, video hizo za simu zilizofichuliwa zimeshakuwa na madhara makubwa kwa wanafunzi wa kike katika maeneo yaliyo na msimamo mkali kuhusiana na dhana ya mauji ya heshima added that leaked mobile videos have had dire consequences for female students in conservative areas too:

英語

gedrosia (@gedrosian), a twitter user from balochistan province, added that leaked mobile videos have had dire consequences for female students in conservative areas too:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
7,740,056,217 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK