プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
eugene terre blanche amekufa kifo kibaya na inadaiwa kuwa aliuawa na mikono ya vibarua wa shambani kwake.
eugene terre blanche died a violent death allegedly at the hands of his farm hands.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
inadaiwa kuwaterre blanche alikatwa katwa na kubondwa hadi kufa katika shamba lake karibu na ventersdorp, katika jimbo la kaskazini magharibi, bila shaka na wafanyakazi wake kutokana na mabishano juu ya randi 600.
terre blanche was allegedly hacked and bludgeoned to death on his farm near ventersdorp, in the north west province, allegedly by farmworkers during an argument over r600.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
pia zinazotawala katika twita ni picha za maangamizi na uharibifu zilizopigwa na raia kama hizi hapa chini, inadaiwa kuwa zilitumwa kwa mtumiaji wa twita @marvinady na mwanahabari carel padre wa radio one haiti.
also proliferating on twitter are citizen photos of the destruction such as the ones below, reportedly sent to twitter user @marvinady by journalist carel pedre of haiti's radio one.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
mhanga huyo rowena uychiat inadaiwa alilazimishwa kufanya kazi masaa 21 kwa siku (6:00 mpaka 03:00) bila kupewa siku ya mapumziko.
the victim rowena uychiat was allegedly forced to work 21 hours a day (6am till 3am) without a day off.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
video hii ya dakika tatu inadaiwa kuonesha kukatwa kichwa kwa steven sotloff, ambaye amekuwa akifanya kazi sehemu hatari katika maeneo mbalimbali ya mashariki ya kati kama vile bahrain, syria, egypt, libya na uturuki.
the three-minute video allegedly shows the beheading of steven sotloff, whose work in hotspots across the middle east has taken him to bahrain, syria, egypt, libya and turkey.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
zaidi ya kuwaingilia waandamanaji, serikali pia inadaiwa 'kuwakamata" na "kuwaweka kizuizini" watoto wa mtaani siku chache baada ya papa kuwasili.
in addition to interfering with protesters, the government also reportedly “detained” and “caged” street children a few days before the pope's arrival.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています