検索ワード: inahusisha (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

inahusisha

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

inahusisha picha ndogo ya mtazamo wa mji.

英語

it involves a sliver of a view of a city.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

project yangu inahusisha juu ya kutuma pesa kutoka kwenye bank moja kwa moja kutoka oman kwenda tanzanian kupitia njia ya simu

英語

money transfer

最終更新: 2023-07-20
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa jumla hii inahusisha vipimo vilivyobuniwa kubainisha sumu kuu katika mchanganyiko mpya kabla ya matumizi ya kwanza katika binadamu.

英語

these generally constitute tests designed to determine the major toxicities of a novel compound prior to first use in humans.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

uamuzi huo unahusisha vitabu vinavyopakuliwa au kutazamwa mtandaoni na inahusisha mifumo kama kompyuta, simu za kisasa na vifaa vingine vya kusomea.

英語

the sentence includes books downloaded or viewed online and encompasses electronic formats for computers, smartphones, e-readers or any reading devices.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

demokrasia inadai ushirikishaji huru wa raia kwenye michakato ya kisiasa, na hiyo inahusisha pia haki ya kukosoa, na haki ya kuamua serikali inayokuwa madarakani.

英語

democracy demands the active participation of citizens in the political process, and that includes the right to criticise, and the right to decide the government of the day.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

jipangie muda wa ziada wa kuunganisha safari zako, hasa ikiwa unahamia ndege ya kimataifa hadi ndege ya ndani na hasa ikiwa safari yako inahusisha nchi ambayo imeathiriwa vibaya.

英語

build in extra time for your connections, especially if transferring from an international flight to a domestic flight and especially if your itinerary involves a country that's seriously affected.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hata hivyo, hati hiyo haijaondoa hali ya mashaka iliyokuwepo kwani kandarasi iliyopitishwa kati ya serikali ya heshan na cnnc inahusisha uwekezaji wa rmb bilioni 37 (dola za kimarekani bilioni 6).

英語

however, the written document has not cleared all skepticism as the contract signed between heshan government and cnnc involves 37 billion rmb (6 billion usd) investment.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kadiri moscow inavyojaribu kuimarisha ushiriki wake kwenye vita vya nchini syria, jamii kubwa ya kimataifa imekuwa ikifuatilia na kujadili kwa ukaribu kuhusiana na azma ya urusi nchini syria, wakihoji ikiwa msaada wa kremlin kwa rais bashar al-assad ni msaada muafaka kwa kampeni ya magharibi ya kulitokomeza kundi la isis, ambayo pia inahusisha na harakati za kumuondoa madarakani assad.

英語

as moscow appears to be expanding its military presence in syria, many around the world have been busy debating russia’s agenda in that country, asking if the kremlin’s support for president bashar al-assad is compatible with the west’s campaign against isis, which includes efforts to remove assad from power.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,800,260,296 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK