検索ワード: inasemekana (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

inasemekana

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

inasemekana alikuwa mjamzito.

英語

she was reportedly pregnant.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inasemekana mhubiri huyo amekamatwa.

英語

they say the clergyman has been arrested.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inasemekana kwamba namna nzuri ya kuelimika ni kujifunza.

英語

it is said that the best way to became educated is to learn.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inasemekana kwamba raia takribani 500 wameuawa tangu kuanza kwa machafuko hayo.

英語

about 500 civilians are reported to have been killed since the crisis began.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inasemekana kwamba katika mwezi huu mungu hujibu dua kwa urahisi zaidi ...

英語

it is said this month god answers the prayers easier...

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inasemekana kuwa hayo ndiyo yalikuwa mauaji ya kwanza ya kimbari katika karne ya 20.

英語

it is considered the first genocide of the 20th century.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

"inasemekana kuwa hakuna anayelijua taifa hadi awe amewahi kuwa ndani ya jela."

英語

“it is said that no one truly knows a nation until one has been inside its jails.” ― #nelsonmandelaquotes — rise networks (@risenetworks) december 6, 2013

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

inasemekana kuwa alijaribu kumpiga teira kwa benchi wakati kundi hilo lilipokataa amri yake ya kuondoka hapo kwenye hosteli.

英語

he reportedly tried to hit teira with a bench when the group rejected his calls to leave the hostel.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati huo huo, inasemekana kuwa viza ya kim aris, mwanawe aung san suu kyi iliidhinishwa ili aweze kuzuru myanmar.

英語

meanwhile, kim aris, aung san su kyi's son reportedly has gotten his visa approved to visit myanmar.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kijana huyo mwenye akili inasemekana aliwaendea wakubwa wa safaricom na wakamkatalia kuwa wazo lake lisingetekelezeka na ajabu miezi kadhaa baadae wakazindua huduma hiyo.

英語

samuel gikuru questioned safaricom's motives and even accused the company of stealing the idea from a kenyan:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mooja wa majeruhi, inasemekana ni mpiga mpiga wa idhaa ya televisheni ya rta (uthibitisho rasmi bado unasubiriwa).

英語

among the casualties, is said to be a cameraman from the rta tv station (official confirmation still pending).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

asasi ya bahrain watch, inayojihusisha na utafiti na uwazi, ilisema kuwa anuani ya twita ya takrooz inasemekana kuwa shabaha ya kufuatiliwa na serikali ya bahraini.

英語

bahrain watch, a research and transparency group, reported that takrooz' twitter account was repeatedly targeted for surveillance by the bahraini government.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inasemekana kwamba uongozi mpya wa qatari ni ule wenye msimamo wa kihafidhina unaoamini kwamba uendeshaji wa tovuti hiyo hauna budi kushikilia mitazamo ya kidini yenye msimamo wa kihafidhina na kuondolea mbali vipengele vingine.

英語

the new qatari administration is said to be a very conservative one that believes the website should stick to conservative religious issue and removed other sections

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baada ya kurudi nyumbani kutoka mapumzikoni, gulsumoi abdujalilova, mwenye umri wa miaka 32 mwanafunzi wa chuo kikuu nchini ujerumani, inasemekana alihojiwa na polisi kwa muda wa siku nne.

英語

after coming home on vacation, gulsumoi abdujalilova, a 32-year-old university student in germany, was allegedly interrogated by police for four days.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wakati baadhi ya waandishi wa habari waliruhusiwa kuingia, wengine - ikiwa ni pamoja na wale wa bbc ya kiarabu na al hurra inayopata ufadhili wa marekani hawa inasemekana walizuiwa kuingia.

英語

while some journalists were being allowed in, others - including from bbc arabic and us-funded al hurra - were reportedly denied access.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

serikali ya canada inasemekana imetoa tamko la jazba leo, ikikanusha upotoshaji wa habari zinazodaiwa kufanywa nayo kwa mujibu wa jarida la wall street likidai kwamba canada imebadili sera yake na itakuwa ikikubaliana na malengo ya kupunguza hewa ya ukaa na kutengeneza mpango kwa ajili ya mfuko wa kukabiliana na tabianchi kwa nchi zinazoendelea.

英語

the canadian government supposedly released an angry statement today, denouncing a spoof that supposedly made it as far as the wall street journal claiming that canada had shifted its policy and would be agreeing to greenhouse gas reduction targets and drafting a plan for a climate adaptation fund for developing nations.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

fox news, ambayo mara nyingi hukosolewa kwa kuelemea kwake upande mmoja katika masuala yanayohusiana na uhamiaji na siasa mgando, inasemekana kuitisha wazo la "uchunguzi kwa waislamu" walio jeshini.

英語

fox news, often criticized for its bias on issues related to immigration and conservative politics, is reportedly calling for the "screening of muslims" in the army.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

@bassem_sabry: japo siwezi kuthibitisha haya kwa vyovyote, kuna hadithi maarufu sana inayodai kwamba baba wa mubarak aliishi miaka 104, na tena inasemekana alifariki dunia kwa ajali ya gari.

英語

@bassem_sabry: while i cannot verify this at all, a popular story claims mubarak's father lived to 104 years of age, and supposedly died of a car accident.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,794,101,277 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK