検索ワード: kampuni ya mambu (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kampuni ya ulinzi

英語

the defense company

最終更新: 2024-11-05
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

matembezi na kampuni ya usafiri

英語

huduma ya ugavi

最終更新: 2024-12-04
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

nafanya kazi kwenye kampuni ya mak

英語

nafanya kazi na kampuni ya forever living product

最終更新: 2022-03-04
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

news & kampuni ya habari – ntv uganda

英語

news & info company – ntv uganda

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kuna uvumi kuwa kampuni ya autentika iko nyuma ya kisa hiki.

英語

rumour is that interactive agency autentika is behind this.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

andika barua rasmi ya kuomba kazi katika kampuni ya royco kwa kiswahili

英語

write an official letter requesting for a job in the royco company in swahili

最終更新: 2024-09-16
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

“matangazo yametengenezwa na kampuni ya muigizaji, aamir khan productions, bila malipo.

英語

"the ads have been made by the actor’s production company, aamir khan productions, free of cost.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

safaricom ilikuwa kampuni ya kwanza nchini kenya kutoa huduma ya miamala ya kibenki.

英語

safaricom was the first company in kenya to offer mobile money transfers.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

jamhuri ya dominika: upinzani dhidi ya shughuli za kampuni ya uchimbaji dhahabu ya barrick

英語

dominican republic: opposition to barrick gold mining operations · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

limmorgal, kompyuta inayoendeshwa kwa nishati ya jua iliyotengezwa nchini mali na kampuni ya tech of africa kwa ruhusa

英語

limmorgal, a solar energy-powered pc made in mali via tech of africa with permission

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

batista alikuwa mfanyakazi wa "kampuni ya usalama" yenye makao huko texas asi global.

英語

batista was an employee of a houston texas “security consulting” firm called asi global.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

#sidibouzid uingiliaji wa barua pepe na anuani za facebook, imethibitisha serikali ya benali ni kampuni ya kihalifu

英語

#sidibouzid the hacking of emails and facebook accounts, has confirmed the the benali government is a criminal enterprise

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

batista alikuwapo nchini humo kuendesha semina kama mfanyakazi wa kukodiwa wa kampuni ya usalama yenye makao huko texas asi global llc.

英語

batista was in the country providing seminars as a consultant for the texas-based security firm asi global llc.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kibali cha kutumia hekta 30,000 za ardhi kwa kampuni ya mazao nishati (biofuels) procana, kimebatilishwa.

英語

a 30,000ha land concession to biofuels firm procana in the district of massingir had been revoked.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baba mtu peña alikuwa akifanya kazi katika mji wa port au prince kama mhandisi katika kampuni ya ujenzi ya santo domingo mera, muñoz & fondeur.

英語

the elder peña was working in port au prince as an engineer with the santo domingo construction firm mera, muñoz & fondeur.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kampuni ya nolimitation bv ilipata haki pekee ya mavuvuzela na ya kutumia jina hilo kupitia kampuni ya kijerumani ya kehrberg gmbh, inayodai kuwa na haki katika nchi zote za umoja wa ulaya.

英語

nolimitation bv acquired the exclusive rights to the vuvuzela and use of the name through urbas kehrberg gmbh, the german company which claims to have the rights to all eu countries.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

anamiliki pia kampuni ya uchapishaji iitwayo dominion publishing house, inayochapisha vitabu vyake vyote (ambavyo vimejikita zaidi kwenye mafanikio).

英語

he also owns dominion publishing house, a thriving publishing company that publishes all his books (which are often centred on prosperity).

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

milind khandekar, ambaye ni mhariri mkuu wa kampuni ya uhabarishaji ya the managing editor of abp news (@milindkhandekar), alitoa maoni yake:

英語

milind khandekar, the managing editor of abp news (@milindkhandekar), observed:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

aquino alihudhuria kuzinduliwa kwa kiwanda kipya cha magari cha kampuni ya mitsubishi huko laguna (jimbo lililo kusini mwa manila) badala ya kuhudhuria mapokezi ya miili ya polisi.

英語

aquino graced the opening of mitsubishi motor corporation’s new car factory in laguna (province south of manila) rather than attend the police ceremony.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa wakati huo, chenge alikuwa akichunguzwa na taasisi ya kuchunguza makosa makubwa ya jinai nchini uingereza (sfo) kufuatia kutuhumiwa kwa kosa la rushwa iliyohusisha kampuni ya kiingereza ya bae.

英語

at the time, chenge was under investigation by the british government's serious fraud office for corruption involving the british arms manufacturer bae.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
8,927,604,247 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK