検索ワード: kero (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kero

英語

like

最終更新: 2022-03-17
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

“kero za wananchi hazitaisha.

英語

“people’s grievances aren’t going to be over.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

lakini pengine inabidi kuwa pale kuielewa kero hasa ya kelele ile mbaya.

英語

but you really have to be there to appreciate the full horror of the cacophony.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kero mbili juu ya namna tukio hilo lilivyoripotiwa na vyombo vya habari nchini uingereza

英語

two annoyances about the news coverage in the uk

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

tangu mkutano wa zanu pf umeanza , hawajakumbana na kero ya kukatika kwa umeme.

英語

since the zanu pf conference began , they have not experienced a power cut.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ninashawishika kuandika zaidi, lakini ni budi niingie kwenye chereko na kuepuka kuandika zaidi kero zangu zinazoihusu filamu hiyo.

英語

i’m tempted to write more, but i’ll give into the celebratory moment and avoid going into any further detail about my issues with the film.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kama ulifanikiwa kuipata mechi yoyote kupitia luninga, bila shaka ulisikia sauti mbaya, kama ya kundi la wadudu wanaoleta kero.

英語

if you’ve caught any of the games on tv, you would have heard a continuous droning sound, like a perpetually embittered swarm of hornets.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baada ya kusoma kwa mara ya kwanza, jumbe hizi za afya kwa umma zinaweza kufutwa mara moja kama vile zinavyofutwa jumbe nyingine za kero."

英語

after an initial viewing, these public health messages may be deleted as quickly as the usual text spam."

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

kama watangazaji wakubwa wa matangazo hayo wataihisi kero inayosababishwa na mavuvuzela kiasi cha kuwaondolea raha ya kutazama kwa watazamaji wao, fifa italazimika kujirudi na kuyasitisha mavuvuzela kwenye viwanja vitakavyotumika kwenye mechi za kombe la dunia mwaka 2010.

英語

if the world’s broadcasters feel the cacophony of vuvuzelas detracts from the viewing pleasure of their public, fifa will be forced to back down and ban the trumpets from the 2010 world cup stadiums.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baada ya mapumziko yasiyo ya kawaida, sasa kero ya kukatika-katika umeme imerudi tena jijini bulawayo utafikiri ni kulipiza… nina hakika watu wanatamani ule mkutano wa zanu pf ungeendelea.

英語

after an uncharacteristic break, power cuts are back with a vengeance in bulawayo i bet some people wish the zanu pf conference was still on.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,745,685,059 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK