検索ワード: kifahari (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kifahari

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

jumba la kifahari

英語

deserted

最終更新: 2022-12-31
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

"bajeti ya kifahari lakini mpango duni?"

英語

"lavish budget but poor plan?"

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

ni hoteli ya kifahari na ina bafu la chemchem maalumu kwa wanawake pekee.

英語

it is a luxurious hotel and spa for women only.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

zambia: magari mapya ya kifahari ya mtoto wa rais yasababisha minong’ono

英語

zambia: president's son new luxury cars cause uproar · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

athari katika sekta ya meli za kifahari ilikuwa katika kiwango ambayo haijaonekana hapo awali.

英語

the impact on the cruise line industry was at a level never seen before.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ninanunua magari ya kifahari, ninanua nyumba za bei mbaya, ninakunywa johnnie walker pekee.

英語

i buy expensive cars, i buy expensive houses, i only drink johnnie walker.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwanza maandamano kwa ajili ya uhuru wa kiuchumi, yaliyoongozwa na julius malema, wakati alipokuwa hajachoka sana na akipumzika ndani ya gari lake la kifahari .

英語

first the march for economic freedom, well that was lead by julius malema, when he wasn't too tired and taking a break in his chauffeur driven beamer .

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kama jumba lake la kifahari la mashariki ya legon halifai kwa ajili ya kuwa makazi yake ya kimapinduzi, basi inampasa aende kwenye shirika la mikopo ya nyumba la ghana akachukue mkopo wa nyumba.

英語

if his east legon mansion is not fit for his royal revolutionary habitation, he should go to ghana home loans and get a mortgage.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa mfano, nimeambiwa kuwa, safari zake za ndege za nje ziliigharimu serikali zaidi ya dola za marekani mbili bilioni, kwa kukodisha ndege za kifahari yeye na familia yake na ujumbe wake pamoja na anasa zingine zisizokuwa za lazima.

英語

for instance, i am told that his air travels alone cost the state some $2 billion, on chartered jets, his family, full entourage, and various other luxuries.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hii haikuwa juu ya watu kutoa wito kwa kujengwa barabara milimani, barabara kuu mijini na nyumba za kifahari; ilikuwa ni juu ya watu kutoa wito wa kumalizwa vitendo vya kifisadi katika nchi na kwa ajili ya mabadiliko ya kisiasa katika ngazi ya nchi.

英語

this wasn’t about the people calling for tunnels, new highways and more high-rise luxury condos; it was the about the people calling for an end to corruption in the country and for political change at the federal level.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

glavu na zana zingine zinazotupwa baada ya matumizi hazifai kutupwa katika mifuko maalum ya kubeba takataka ya hospitali, na sehemu zilizoambukizwa zinafaa zipanguzwe na kusafishwa kwa dawa baadaye.kwa usafirishaji wa meli, ikiwemo meli za kifahari na vyombo vingine za abiria, vidhibiti vya hatari ni pamoja na kuairisha safari ikiwa wewe ni mgonjwa, na kujitenga na kujulisha kituo cha afya chomboni mara moja ikiwa mtu ana hali ya joto au dalili zingine wakati yuko chomboni.

英語

gloves and other disposable items should be disposed of in a biohazard bag, and contaminated surfaces should be cleaned and disinfected afterwards.for commercial shipping, including cruise ships and other passenger vessels, hazard controls include postponing travel when sick, and self-isolating and informing the onboard medical center immediately if one develops a fever or other symptoms while on board.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,778,209,264 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK