検索ワード: kifungo cha nje (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kifungo cha nje

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

misri: mubarak ahukumiwa kifungo cha maisha

英語

egypt: life imprisonment for mubarak · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hatimaye walipomwachilia huru mwaka wa 2008, aliomba abaki kwenye kifungo cha nje.

英語

when they eventually released him in 2008, they demanded that he remain on parole.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wala msiwaweke wanawake makafiri katika kifungo cha ndoa zenu.

英語

do not hold on to [conjugal] ties with faithless women.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuuza barakoa duni za uso kunaweza kusababisha kifungo cha maisha

英語

selling substandard face masks has a maximum sentence of life imprisonment

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa sababu hii, abel alihukumiwa kifungo cha miezi minne kwa kuibeza mahakama.

英語

for this, he was sentenced to four months for contempt of court.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mahakama ya kijeshi ya kampala ilimhukumu joshua asisa kifungo cha mwaka mmoja na nusu jela.

英語

military court in kampala convicted joshua asisa to a one-and-half years in prison.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwanablogu wa iran siamak mehr aliwekwa kizuizini mwaka 2010 na kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka minne jela

英語

iranian blogger siamak mehr was arrested in 2010 and is serving a 4-year sentence

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mahakama imeamuru bwana hamisi ata hukumiwa kigungo cha nje mienz 3

英語

external button

最終更新: 2023-08-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

anatumikia kifungo cha miaka mitano jela baada ya kutiwa hatiani katika mashitaka ya ugaidi mwezi januari 2012.

英語

she is serving a five-year sentence after she was found guilty on terrorism charges in january 2012.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baada ya kusikilizwa kwa mshitaka hayo kwa mara ya kwanza, majaji walipendekeza kifungo cha miezi 18 dhidi ya ghanem.

英語

after the case's first hearing, the judges requested an 18-month prison sentence against ghanem.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wala msiwaweke wanawake makafiri katika kifungo cha ndoa zenu. na takeni mlicho kitoa, na wao watake walicho kitoa.

英語

and do not hold on to ties with unbelieving women, but demand what you have spent, and let them demand what they have spent.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwanablogu aliyefungwa jela,hossein ronaghi maleki anahitaji huduma ya matibabu ya haraka. alihukumiwa kifungo cha jela cha miaka 15.

英語

jailed blogger,hossein ronaghi maleki needs urgent medical care.he was sentenced to 15 years of prison.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

alaa alihukumiwa kifungo cha miaka mitano kwa kudaiwa kushiriki maandamano na "kumtukana polisi na kumwibia redio ya upepo".

英語

alaa was slapped a five year prison sentence for allegedly taking part in a protest and “assaulting a policeman and stealing his walkie talkie.”

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

@balrasheed: moja ya mambo ya ajabu zaidi kukutana nayo selo ilikuwa ni mfanyabiashara wa lebanon ambaye alihukumiwa kifungo cha siku tano.

英語

@balrasheed: one of the more bizarre stories we came across during our detention was of a lebanese salesman who was sentenced to five days imprisonment.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kosa la kukashifu imani linaelezwa katika kifungu cha sheria namba 295 cha hukumu za pakistani ambapo mshitakiwa akikutwa na hatia anaweza kufungwa kifungo cha maisha ama hukumu ya kifo.

英語

the blasphemy offence comes under article 295-b of the pakistan penal code and the offender can get life imprisonment or a death sentence.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

siku chache baada ya hukumu ya vijana wanaharakati wawili wa blogu za video huko azerbaijan, wanablogu wengine wanaanza kuongea kwa sauti juu ya kifungo cha adnan hajizade na emin milli.

英語

days after the sentencing of two video blogging youth activists in azerbaijan, other bloggers are starting to speak out about the imprisonment of adnan hajizade and emin milli.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ghanem anakabiliwa na kifungo cha miezi 18 jela kwa kosa la kuchora kikaragosi ambacho hata hivyo hakikuchapishwa cha rais wa algeria abdelaziz bouteflika kilichohesabiwa na mamlaka za dola nchini humo kuwa ni matusi that was deemed offensive.

英語

ghanem faces 18 months in prison for an unpublished caricature of algeria's president abdelaziz bouteflika that was deemed offensive by the authorities.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

dunia ilishuhudia wakati mahakama ya misri ilipomhukumu aliyekuwa rais wa zamani wa misri hosni mubarak na waziri wake wa mambo ya ndani habib al adly kifungo cha maisha hivi leo kufuatia kukutwa na hatia ya kuhusika na mauaji ya waandamanaji.

英語

the world watched as an egyptian court sentenced former egyptian president hosni mubarak and his interior minister habib al adly to life imprisonment today for their role in the killing of protesters.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

oscar pistorius, mkimbiaji mwenye ulemavu wa miguu wa afrika ya kusini alipatwa na hatia ya mauaji ya bila kukusudia kwa kumpiga risasi rafiki yake wa kike mwaka jana, amehukumiwa kifungo cha mpaka miaka mitano gerezani.

英語

oscar pistorius, the south african double-leg amputee runner who was found guilty of culpable homicide (manslaughter) after shooting his girlfriend last year, has been sentenced to five years in prison.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kifaa cha nje cha kupeleka pumzi mwilini (ecmo) kimetumika kushughulikia matatizo ya kupumua, lakini faida zake bado zinaangaliwa.

英語

extracorporeal membrane oxygenation (ecmo) has been used to address the issue of respiratory failure, but its benefits are still under consideration.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,791,829,001 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK