プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
nilipokataa kuingia garini, mmoja wa watu wale alinikunja kiganja cha mkono; na ndipo nilipogundua kuwa kujaribu kukwepa kukamatwa kusingekuwa na manufaa, hata hivyo walitumia nguvu kunifanya niingie kwenye gari na kisha katika siti ya nyuma, wanaume wawili walikaa kulia na kushoto kwangu.
when i resisted getting on to the vehicle one of the men twisted my wrist; at that moment i just recognized my fight not to be arrested is a futile one but i get on to the car defiantly then squeezed into the back seat in the middle of two men.