検索ワード: kila mara mtoto (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kila mara mtoto

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

hufukuzana kila mara lakini hawakutani jibu ni

英語

they chase each other constantly but they don't meet and the answer is

最終更新: 2024-04-12
使用頻度: 2
品質:

スワヒリ語

kila mara huwa unanijaza tabasamu usoni kwangu.

英語

you always put a smile on my face.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kila mara wanapo washa moto wa vita, mwenyezi mungu anauzima.

英語

as often as they ignite the fires of war they are extinguished by god.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kila mara zakariya alipo ingia chumbani kwake alimkuta na vyakula.

英語

every time he entered al-mihrab to (visit) her, he found her supplied with sustenance.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

vilevile, mbebaji ambaye ni hifadhi huwa na hcov kila mara na kwa muda mrefu.

英語

likewise, a reservoir host harbours hcov continuously and for long term.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kila mara likitupwa kundi humo walinzi wake huwauliza: kwani hakukujieni mwonyaji?

英語

as often as a troop is cast into it, its keepers ask them, 'came there no warner to you?';

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

namna anavyoongea inamfanya mtu afikiri ubaguzi wa rangi uliogeuzwa na kila mara anawazungumza watu weupe kama maadui.

英語

the way he speaks makes on think of reverse apartheid and he constantly speaks of white people as the enemy.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

leo hii, watu hawa wawili wanawasiliana kila mara na wote abdulahi na ahmed wanaendelea kusaka marafiki na wanafamilia zaidi.

英語

today, the two keep in touch regularly and both abdulahi and ahmed continue to search for more friends and family members.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kila mara wanapo washa moto wa vita, mwenyezi mungu anauzima. na wanajitahidi kuleta uharibifu katika ardhi.

英語

every time they kindle the fire of war, allah doth extinguish it; but they (ever) strive to do mischief on earth.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

athari kidogo mbaya ya kuosha mikono ni kwamba kuosha mikono kila mara kunaweza kusababisha kuharibika kwa ngozi kutokana na kukauka kwa ugonjwa.

英語

a small detrimental effect of hand washing is that frequent hand washing can lead to skin damage due to drying of the skin.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

na hatimaye, timu ya kandanda ya wamisri mara nyingi humwongeza nyota mwingine kwenye jezi zao kila mara wanaposhinda kombe la mataifa ya afrika.

英語

and finally, the egyptian national team usually adds a new star on their jersey every time they win the african cup of nations.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kila mara waliufunga ukurasa wangu, kunizuia kuitumia akaunti yangu na wakati mwingine kunionya, lakini bado niliendelea na kazi zangu kwa makusudi.

英語

they continually closed my account, blocking me, and warning me, and i kept on deliberately posting my work.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

maneno mabaya hata yasisikike kamwe miongoni mwenu; kila mara maneno yenu yawe ya kufaa na ambayo hujenga na kuwasaidia wengine, ili yawaneemeshe wasikilizaji wenu.

英語

let no corrupt communication proceed out of your mouth, but that which is good to the use of edifying, that it may minister grace unto the hearers.

最終更新: 2014-04-01
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

masuala kama vile ukosefu wa maji, kukatika kwa umeme kila mara, ajali za barabarani na unyanyasaji dhidi ya wanawake makazini ni lazima yapewe kipaumbele."

英語

the issues like water shortage, frequent power cuts, road accidents and physical abuse of women at workplace should be given first thought.”

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

jarida la the new england linaripoti kuwa ukosefu wa kuosha mikono unasalia katika viwango visivyokubalika katika mazingira mengi ya kimatibabu, huku idadi kubwa ya madaktari na wauguzi wakisahau kila mara kuosha mikono yao kabla ya kuwagusa wagonjwa na hivyo kusambaza viini.

英語

the new england journal of medicine reports that a lack of hand-washing remains at unacceptable levels in most medical environments, with large numbers of doctors and nurses routinely forgetting to wash their hands before touching patients, thus transmitting microorganisms.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kainat - rafiki yake malala waliyekuwa pamoja wakati shambulio lilipotokea — alisema — kwamba bado ana woga mwingi mno na hulia sana kila mara anapolikumbuka.

英語

kainat - malala's friend who was with her during the attack- said that she's still terrified and cries whenever that incident comes in her mind.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

maelezo ya kundi hilo - ambalo kila mara linaingiza mambo mapya kwenye ukurasa wake kwa lugha za kislovak na kihungaria - yanaeleza (hun, slo):

英語

the description of the group — which has its status updates in slovak and hungarian — says (hun, slo):

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

alisema hivyo kwa kuwa yesu alikwishamwambia huyo pepo mchafu amtoke mtu huyo. pepo huyo mchafu alikuwa anamvamia mtu huyo mara nyingi, na ingawa watu walimweka ndani na kumfunga kwa minyororo na pingu, lakini kila mara alivivunja vifungo hivyo, akakimbizwa na pepo huyo mchafu hadi jangwani.

英語

(for he had commanded the unclean spirit to come out of the man. for oftentimes it had caught him: and he was kept bound with chains and in fetters; and he brake the bands, and was driven of the devil into the wilderness.)

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

verse 1 deka unavyo deka kama mtoto nitakubembeleza mimi wako oh nita zidi kupa vitu moto moto mapenzi kupendana sii mchezo nakusihi usijeniacha mimi solemba najisihi na mimi nisije kuacha wewe solemba tunavyo ishi wanandhani tunadanganyana sii rahisi amini mimi na wewe tukatengana chorus 2x usiende mbali nami kwani bado nakupenda usiondoke mbali nami mimi bado nakupenda verse 2 tangu niko na wewe ni furaha kukosa hata saa nikaraha bila wewe siwezi ishi kwako mimi sio mbishi wanapiga misele kila mara wanatimua mavumbi sisi twala wanataka mapinduzi na mapinduzi hawayawezi ooh ooh

英語

do not go far from me

最終更新: 2023-08-21
使用頻度: 6
品質:

関係性の低い人による翻訳は非表示になります。
関係性の低い結果を表示します。

人による翻訳を得て
7,798,319,286 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK