検索ワード: kiwango cha juu cha fremu ya mweka: (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kiwango cha juu cha fremu ya mweka:

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

viti vya kiwango cha juu

英語

seats

最終更新: 2024-01-06
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

“ninajisikia fahari kama mghana kwamba nchi ina watu wenye kiwango cha juu cha uelewa.

英語

"i feel proud as a ghanaian that the country has people with such a great level of understanding.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

ukiwa na mifano inayofaa, fafanua kuharibika kwa mikakati sita iliyotolewa na modeli ya urasimu wa kiwango cha juu cha weber katika taasisi ya elimu

英語

with relevant examples, explain six dysfunction of strategies provided by max weber's bureaucratic model in governing educational institution

最終更新: 2021-06-14
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

idara ya mambo ya nje na biashara ya australia ina kiwango cha juu cha tahadhari katika ushauri wa safari kwenda india.

英語

the australian department of foreign affairs and trade has a high degree of caution as its current travel advice for india.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

miongoni mwa wagonjwa sita, sampuli ya kwanza ilionyesha kiwango cha juu zaidi cha virusi na mgonjwa wa sita alionyesha kiwango cha juu zaidi cha virusi siku ya pili ya kupimwa.

英語

in five of six patients, the first sample showed the highest viral load, and the sixth patient showed the highest viral load on the second day tested.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

data za awali zinaonyesha kipimo cha kiwango cha juu cha ribavirin ni muhimu kuzuia sars-cov-2 katika chombo cha glasi.

英語

preliminary data indicate that high doses of ribavirin are necessary to inhibit sars-cov-2 in vitro.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

75% ya wanawake katika ajira ya kiwango cha juu au wenye ujuzi wa juu wamekabiliwa na matukio ya unyanyasaji wa kijinsia wakati fulani katika maisha yao.

英語

75% of women in high level jobs or who are highly qualified have experience sexual harassment at some point in their lives.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maandamano hayo, licha ya kuwa na amani na kuwa na madogo (yakiwa na mamia kadhaa tu ya waandamanaji) yalikumbana na kiwango cha juu kabisa cha ukatili wa polisi usio wa kawaida.

英語

the protest, despite being peaceful and rather small (a few hundreds of protesters) was met with an unusually high level of random police brutality.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

alisema ajira za moja kwa moja kutoka kwenye visima vya kuchimba mafuta zinahitaji kiwango cha juu cha ujuzi, uwezo na sifa za kitaaluma, hivyo kuhitaji vijana kujiendeleza zaidi ili kuweza kufaidika kikamilifu na nafasi nyingi za kazi, ambazo zitatokana na machimbo hayo.

英語

he said direct employment into the upstream oil industry required high level of professional competence and qualification, hence the need for the youth to improve themselves to be able to take full advantage of the numerous ancillary job opportunities, which would be generated by the emerging industry.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

aina ya kisaidizi cha kupumua kwa watu wenye matatizo ya kupumua yanayohusiana na covid-19 inafanyiwa utafiti kwa watu hospitalini, na ushahidi fulani kwamba kuweka neli inaweza kuepukwa na kifaa cha kuingiza hewa kwa kiwango cha juu.

英語

the type of respiratory support for individuals with covid-19 related respiratory failure is being actively studied for people in hospital, with some evidence that intubation can be avoided with a high flow nasal cannula or bi-level positive airway pressure.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

inakisiwa pakubwa kwamba kiwango cha juu cha mfanano kati ya rbd za virusi vya beta-cov vinavyohusiana na sars-cov-2 vinavyopatikana ndani ya kakakuona na sars-cov-2 hungozwa na ukuaji wa kimkusanyiko unaoletwa kwa msingi wa uteuzi.

英語

it is highly speculative that the high degree of similarity between the rbds of pangolin sars-cov-2-related beta-covs and sars-cov-2 is driven by selectivity-mediated convergent evolution.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hussein a a, alichuguza dawa kadhaa zilizoteuliwa, kisha akaboresha na kuchambua mfanano wao na mifupa na dawa za kiwango cha juu zilizoidhinishwa ili kuharakisha maendeleo ya dawa inayowezekana ya kuzuia sars-cov-2 na uchunguzi wake wa dawa kupendekezwa katika muundo wa uchunguzi wa kliniki.

英語

hussein a a, et al studied several candidate compounds which then optimized and analyzed for their skeleton similarity with the highest similar approved drugs in order to accelerate a potent anti-sars-cov-2 drug development in his preclinical study to be recommended in a clinical study design.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baadhi ya madaktari hupendelea kutumia mitambo ya kuingiza hewa inapopatikana kwa sababu mbinu hii hupunguza chembe za uoevu ikilinganishwa na kifaa cha kuingiza hewa kwa kiwango cha juu. matukio kali ni ya kawaida kwa wazee (wale zaidi ya umri wa miaka 60, na haswa wale zaidi ya umri wa miaka 80).

英語

some doctors prefer staying with invasive mechanical ventilation when available because this technique limits the spread of aerosol particles compared to a high flow nasal cannula.severe cases are most common in older adults (those older than 60 years, and especially those older than 80 years).

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

picha ya remy steinegger (cc by-sa 2.0) mtumiaji twita, 'maoni kutoka gaza' alitwiti: al jazeera imefunua ukweli mpya kuhusu kifo cha arafat baada ya uchunguzi wa miezi tisa, iligundua kiwango cha juu cha sumu ya poloni katika vifaa alivyokuwa akivitumia marehemu rais arafat

英語

image by remy steinegger (cc by-sa 2.0).twitter user this is gaza tweeted: al jazeera reveals new facts about arafat's death after a nine-month investigation found high levels of the poisonous element polonium in the belongings of president arafat.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kama itikio kwa mkurupuko unaoendelea irani, who ilituma timu ya misheni ya pamoja huko kutathmini hali.tarehe 28 februari, ofisa wa who walisema kuwa utathmini wa tishio la virusi vya korona katika kiwango cha kimataifa itaongezwa kutoka "juu" hadi "juu zaidi", kiwango cha juu zaidi cha tahadhari na utathmini wa hatari.

英語

in response to a developing outbreak in iran, the who sent a joint mission team there to assess the situation.on 28 february, who officials said that the coronavirus threat assessment at the global level would be raised from "high" to "very high", its highest level of alert and risk assessment.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,799,606,800 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK