検索ワード: kuchelewesha (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kuchelewesha

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kampeni na msukumo kutoka kwa wanamazingira vimekuwa na mafanikio - viliweza kuchelewesha maamuzi ya rais colom.

英語

the campaigns and pressure from environmental groups has been effective — delaying president colom decision.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

rais wa zamani wa afrika kusini, thabo mbeki alishutumiwa na baadhi ya watu kwa kuchelewesha mchakato huo mzima.

英語

south africa’s former president, thabo mbeki was accused by some of dragging his feet throughout the process.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa uzoefu, serikali za mitaa za china zimerithi mbinu ya kuchelewesha mambo kama namna ya kutuliza hasira za wananchi.

英語

in the past, chinese local governments have adopted delay-tactics like this to pacify people's anger.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baadhi ya watumiaji wa mtandao walisema kuwa kusitishwa kwa ujenzi wa mtambo huo ni‘ mbinu ya kuchelewesha ’ :

英語

some netizens spelled out that the halt is just a ‘delay tactic’ :

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

tuliwafahamisha kwamba tunaelewa kwamba ombi letu la kughairisha na vikwazo vingine vinaweza kuifanya iwe vigumu kukamilisha shughuli zao zilizokubaliwa za ruzuku na kwamba hakuna yeyote ataadhibiwa kwa kuchelewesha au kurekebisha malengo hayo.

英語

we let them know that we understood that our request for cancellations and other restrictions could make it impossible to complete their agreed-upon grant activities and that no one would be penalized for having to delay or modify those goals.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa kutumia kigezo kuwa maombi ya kupata taarifa ndio sababu kubwa ya kuchelewesha malipo, waandamanaji wana lengo la kuonesha mapungufu ya utaratibu huu wa wizara ambao wengi wanaamini kuwa urasimu huu ni visingizio na kanuni zisizo na maana yoyote.

英語

by submitting requests for access to information as to the reasons for the delay in payments, protesters aim to show the bureaucratic inefficiency of the ministry under what many say is an absurd pretext and absurd regulations.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa hiyo, bila kuchelewesha muda (na kelele na kujisifu kusikohitajika), naomba nikuoneshe sehemu ndogo niliyoitoa kwenye kitabu changu i, migrant ambacho kinajibu maswali yako yote.

英語

so, without further ado (and with much blatant and shameless self-promotion), let me present an excerpt from my book i, migrant, which answers all your questions.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kama ilivyodokezwa katika tathmini ya hivi majuzi ya hatari ya kasi ya ecdc, mwelekeo wa haraka, unaohusisha watu na tondoti ni muhimu katika kuchelewesha kuenea kwa sars-cov-2, kukiwa na mabadiliko kutoka mtazamo wa kiudhibiti hadi wa kukabiliana, kwa vile ongezeko linalotarajiwa la idadi ya visa huenda lisiwape wafanya maamuzi na hospitali muda wa kutosha kuelewa, kukubali na kuweka mikakati yao ya kukabiliana ipasavyo wasipotekeleza ipasavyo mapema.

英語

as pointed out in the recent ecdc rapid risk assessment, a rapid, proactive and comprehensive approach is essential to delay the spread of sars-cov-2, with a shift from a containment to a mitigation approach, as the anticipated rapid increase in the number of cases may not provide decision makers and hospitals enough time to comprehend, accept and adapt their response accordingly if not implemented ahead of time.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,794,462,215 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK