検索ワード: kuchochea (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kuchochea

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

binafsi, sikuamini kwa sababu kosa la hisham lilikuwa ni kuchochea mauaji wakati mohsen ndiye aliyeua.

英語

personally, i couldn't believe it because hesham's crime was instigating murder while mohsen was the one who killed.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

vyanzo rasmi vinasema takrooz amekiri kutumia anuani hiyo na kwamba atafunguliwa mashitaka kwa kuchochea chuki dhidi ya utawala.

英語

official sources say takrooz has already confessed to running the account and that he will be put on trial for inciting hatred against the regime.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mara tu, kuhudhuria maandamano kulionekana kuwa siyo tu kwamba kuna gharama sare na hatari iliyopo, lakini pia kunaweza kuchochea mabadiliko ya kweli.

英語

suddenly, attending the protest seemed not only worth the risk, but capable of inciting real change.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa mantiki ya mthembu, inakubalika kabisa kuchochea watu waue watu wengine, ikiwa tu kuna “mazingira au hali inayoruhusu”.

英語

by mthembu’s logic, it is completely acceptable inciting people to kill others, provided there is “context”.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

uhalali wa uwekezaji huu wa kigeni uliingia kwenye sura mpya wakati mkataba wa kuuza ardhi uliokuwa ufanywe na mwekezaji wa kikorea aitwaye daewoo ulipopata upinzani mkubwa na kwa sehemu kubwa kuchochea mgogoro uliopo.

英語

the worth of foreign investment came into sharp contrast when a land deal with korean investor daewoo came under criticism and partly triggered the current crisis.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mnamo 24 januari 2020 nchini australia, chuo kikuu cha queensland kilitangaza kwamba kinafanya uchunguzi wa uwezekano wa chanjo ya kunata molekuli inayoweza kubadilisha kijenetiki protini za virusi ili kuchochea kinga ya mwili.

英語

around 24 january 2020 in australia, the university of queensland announced that it is investigating the potential of a molecular clamp vaccine that would genetically modify viral proteins in order to stimulate an immune reaction.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa wakenya wengi (kama ilivyo kwa baadhi ya watu ambao huwa hawachoki kuchochea chuki za kikabila katika blogu hii) itakuwa vigumu sana kuelewa siasa za tanzania.

英語

to most kenyans (like the guys who never miss an opportunity to spew tribal hatred in this blog) it would be mighty difficult to understand tanzanian politics.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mbunge wa chama tawala cha saeunri yuko kikaangoni kwa kumtuhumu kimakosa mzazi wa mmoja wa wahanga wa ajali hiyo kuwa mtu asiyehusika 'anayetaka kuchochea tu hasira dhidi ya serikali'.

英語

a governing saeunri party lawmaker is under fire for wrongfully accusing a victim's parent of being an outsider "who wants to stir up turmoil and grudges against the government".

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

alieleza ongezeko la matumizi ya fedha kwa wanasiasa katika kutafuta madaraka, umuhimu unaotiwa chumvi wa vyama vya siasa, na ushirikishwaji wa vijana kwenye ghasia za uchaguzi, ahadi za ajabu wakati wa kampeni na matumizi ya vyombo vya habari kuchochea vurugu kama baadhi ya mielekeo inayotia hofu wakati wa chaguzi za nchi hiyo.

英語

he cited the increasing use of money by politicians to seek public office, the exaggerated importance of political parties, the involvement of the youth in election violence, strange campaign promises and the use of the media to fuel violence as some of the worrying trends in the country’s elections.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

inavyoonekana, kufuatia hali inayoendelea katika nchi za kiarabu, ni intaneti na ongezeko la matumizi ya vyombo vya habari vya kiraia, ndivyo vinavyobeba lawama kwa kuchochea mapinduzi yanayoendelea katika nchi za kiarabu na wala sio udikteta, udhalimu na uvunjifu wa haki za binadamu unaoendelea katika nchi hizo.

英語

the internet and the rise of social media, and not dictatorship, injustice and lack of human rights, are blamed for fueling the arab spring.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,750,042,707 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK