プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
kuchoma
injected
最終更新: 2022-03-01
使用頻度: 1
品質:
参照:
kuchoma udi
the burning of the body
最終更新: 2023-09-19
使用頻度: 1
品質:
参照:
kuchoma sindano
injected needles
最終更新: 2021-03-27
使用頻度: 1
品質:
参照:
nyama ya kuchoma
english
最終更新: 2023-10-18
使用頻度: 1
品質:
参照:
kuchoma sindano ya mguu
heel injection
最終更新: 2019-12-10
使用頻度: 1
品質:
参照:
hakukaa ila mara akaleta ndama wa kuchoma.
after a short time he presented them with a roasted calf
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:
参照:
mwajuma alichomwa na kisu
i cant live without you
最終更新: 2021-03-18
使用頻度: 1
品質:
参照:
kinyume cha neno kisu kikali
the opposite of the word sharp knife
最終更新: 2023-03-05
使用頻度: 1
品質:
参照:
alijitolea; alihatarisha maisha yake kwa kuchoma mkaa ili apate ada ya shule.
he was enterprising; he risked his life to burn charcoal to raise his school fees.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
kilimo cha kukata na kuchoma kimesababisha zaidi upoteaji wa misitu kunakotokana na vitendo vya binadamu.
slash and burn agriculture has caused much of the anthropogenic deforestation of the region.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
mojawapo ya mila za wabuda wa tibet ni kuchoma siagi katika taa, ambayo huonyesha nuru ya hekima na kutoa pepo mbaya.
one of the spiritual practices among tibetan buddhists is to offer a lighted butter lamp that represents the illumination of wisdom and to purify bad karma.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
kuchoma matairi na kuweka vizuizi barabarani ni ishara maarufu za kupinga kitu nchini bahrain, nchini ambayo imekuwa ikishuhudia maandamano karibu kila siku tangu februari 14, 2011.
burning tyres and blocking roads is a popular sign of protest in restive bahrain, which has been witnessing almost daily protests since february 14, 2011.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
nahitaji kushinda vita hivi ili kuhakikisha kwamba najiweka katika nafasi nzuri na unapaswa kujua kwamba mwenye kisu kikali ndio akaekula nyama nyingi
最終更新: 2023-12-07
使用頻度: 1
品質:
参照:
alipo sikia yule bibi masengenyo yao aliwaita, na akawawekea matakia ya kuegemea, na akampa kila mmoja wao kisu.
and when she heard of their gossip, she invited them, and prepared for them a banquet, and she gave each one of them a knife.
最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:
参照:
baada ya mashambulizi dhidi ya wafuasi wa morsy ambapo zaidi ya watu 600 walifariki, wafuasi wa morsy walikusanyika baada ya swala ya ijumaa wakavamia na kuchoma makanisa mawili, na baadhi ya maduka yanayomilikiwa na wakristo katika kijiji cha mallawi.
after the attack on the pro-morsy sit in where more than 600 people died, morsy supporters gathered after friday prayer storming and burning two churches, and some christian owned shops in the village of mallawi.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
...wagonjwa wa akili bado hutibiwa na waganga wa jadi, ambao lengo lao ni kuwatoa pepo wabaya kwa kuchoma ngozi, au kwa wafanyakazi wasio na ujuzi wa chumba kimoja cha kliniki za afya ambao huwapa kila kitu kutoka vidonge vya dawa ya kupunguza maumivu hadi dawa ya kikohozi.
...the mentally ill are still treated by traditional healers, who aim to drive out bad spirits by burning the skin, or by the untrained staff of one-room health clinics who prescribe everything from pain-relief tablets to cough syrup.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
jioni inapofika, kauli mbiu zinazidi kuongezeka, kadri giza linapozidi kuingia, mienge inatoa harufu mbaya kana kwamba ni adhabu, ninakusanya mienge yote iliyokwisha tumika, na kuweka makaratasi kwenye mafuta ya taa yaliyomwagika chini, ninapokuwa nimechoka zaidi, ninakula korosho na kuchoma maganda ya karanga kwa kutumia mishumaa inayowaka.
the evening rolls in, the slogans get intense, as it becomes dark the burning torches smells like retribution, i collect all the used torches, put paper on the spilled kerosene, become more tired, eat peanuts and burn the peanut shells with burning candles.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照: