検索ワード: kufunguliwa (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kufunguliwa

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

watakamatwa lini na kufunguliwa mashitaka?

英語

when will they be arrested and put on trial?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

barua 71 zilizoingia kufunguliwa na kusomwa

英語

71 incoming letters opened and read

最終更新: 2021-12-13
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwaka 2013, alikamatwa na kuwekwa ndani kwa siku 115 bila kufunguliwa mashitaka.

英語

in 2013, he was arrested and detained for 115 days without trial.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

aidha, yeye ni mke wa mfungwa ambaye amekuwa kizuizini kwa miaka nane bila ya kufunguliwa mashtaka.

英語

moreover, she is the wife of a prisoner who has been detained for eight years without a trial.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mwanablogu maarufu nchini misri alaa abd el fattah alimalizia siku yake ya 100 katika gereza bila ya kufunguliwa mashitaka leo.

英語

prominent egyptian blogger alaa abd el fattah completed his 100th day in prison without trial today.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa kuongezea, katika visa vingine, kufunguliwa kwa shule baada ya muda wa kufungwa imesababisha kuongezeka kwa viwango vya maambukizi.

英語

additionally, in some cases, the reopening of schools after a period of closure has resulted in increased infection rates.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

maeneo ambapo bado shule zimesalia kufunguliwa ni pamoja na taiwan, singapore, australia, uswidi na baadhi ya majimbo nchini marekani.

英語

regions with schools remaining open included taiwan, singapore, australia, sweden, and some u.s. states.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

na, wanawake walioamini walirudishiwa wafu wao wakiwa wamefufuliwa. baadhi yao walikataa kufunguliwa, wakateswa mpaka kufa ili wapate kufufuliwa na kuingia katika maisha bora zaidi.

英語

women received their dead raised to life again: and others were tortured, not accepting deliverance; that they might obtain a better resurrection:

最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

gavana wa jimbo la marylanda alitoa kibali kwamba huduma mahususi za kutunza watoto zisalie kufunguliwa kwa ajili ya watoto wa wafanyakazi wa dharura huku jimbo la washington na california yaliwa yameacha uamuzi huo kufanywa na watoa huduma wa kutunza watoto.

英語

the governor of maryland mandated that specific child care services remain open for the children of emergency personnel while washington state and california have left it to the discretion of care providers.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mimi ni mmoja wa wafaidika wa mkopo katika bank yako ninahitaji msaada wa punguzo la makato katika pesa niliyopata katika kupunguzwa kazi nikiomba makato hayo yafanyike kwa 30% na hela ingine niachiwe katika account yangu pamoja na kufunguliwa account yangu ambayo iko locked

英語

i am one of the beneficiaries of a loan in your bank i need help with deduction deductions from the deduction requesting the deduction to be made at 30% and the rest to be left in my account with my account being locked

最終更新: 2020-05-04
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

ilikuwa niujumbe kutoka kwa rais wa zamani wa madagaska, didier ratsiraka kutokea hapo, meya (wa jiji la antananarivo, andry rajoelina) alitoa amri ya kufunguliwa tena kwa stesheni ya viva kabla ya tarehe 13 januari kwa sababu andry hakupata kile alichokitaka, aliwaalika watu wa tana kufanya mgomo tena leo, tarehe 24 januari.

英語

it was a message from the former president of madagascar, didier ratsiraka since then, the mayor ( of antanarivo, andry rajoelina) gave an ultimatum to the government to re-open viva tv station before january 13 as andry didn’t get what he wanted, he invited the people of tana to go on a strike again today, january 24.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,749,049,477 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK