検索ワード: kugeuza (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kugeuza

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

piga simu kugeuza bila masharti

英語

call divert unconditionaly forwarding

最終更新: 2023-07-27
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

raia walikuwa na nguvu ya kugeuza kwa faida mchakacho wa uchaguzi.

英語

citizens were able to positively influence the electoral process.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kugeuza maumivu yako kuwa hasira na hasira ndani ya motisha na motisha katika mafanikio

英語

turn your pain into anger and anger into motivation and motivation into success

最終更新: 2018-04-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa hivyo twatoa wito kwa serikali ya israeli kuheshimu sheria za kimataifa na kugeuza idhini ya nyongeza ya makazi elfu moja na katika west bank.

英語

we thus call for the israeli government to respect international law and reverse the approval of the thousand plus additional settlements units in the west bank.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

leo, baada ya ghasia na vurugu kuanza tena kwenye mitaa ya kiev, na kugeuza kabisa upepo wa habari katika mitandao ya kirusi.

英語

today, after a relative lull, violence returned to kiev’s streets, causing a dramatic shift in runet activity.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hatuwezi kugeuza shavu la pili na kujifanya kwamba si wanasayansi wala wahandisi huendeleza teknolojia ambazo baadaye hutumika kwa minajili ya kupeleleza mabilioni ya wananchi au kuua raia kwa vifaa vya udhibiti.

英語

we cannot turn the other cheek pretending that it is not scientists and engineers who develop technologies that are later used to spy on billions of citizens or kill civilians by remote control.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wakati huo huo vyombo vipya vya habari vilitumika kwa ufanisi mkubwa na upande wa upinzani uliokuwa unajaribu kuvuta macho ya jumuiya ya kimataifa na kugeuza mwelekeo wa maoni ya umma kwa upande wa waandamanaji.

英語

at the same time, new media were efficiently used by the opposition attracting the attention of international community and shifting public opinion to the side of the protesters.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kimeng'enya 2 cha kugeuza angiotensin ni zinki yenye kimeng'enya cha atomu za metali zilizo kwenye eneo la neva za seli za mwisho na seli nyingine.

英語

angiotensin-converting enzyme 2 is a zinc containing metalloenzyme located on the surface of endothelial and other cells.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

walipamba uzio uliowekwa na polisi kwa utepe wenye maneno ya kupinga nguvu za nyuklia, wakaweka mabango ya kisiasa, maua na vitu vingine na hivyo kugeuza miiba iliyokuwa imewekwa na polisi kuwa kama maonyesho ya kazi ya sanaa.

英語

they decorated the fences with anti-nuclear ribbons, political banners, flowers and other items, turning the barricades into what some have dubbed a contemporary street art exhibition.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa hiyo tafsiri yangu ni kwamba jambo pekee jipya linalowezekana kupitia kauli kama hizi ni kuwepo kwa uwezekano kwamba sasa baadhi ya watu wanaweza kuanzisha shule za sekondari zinazofundisha kwa kiswahili, na kwamba sasa ni rasmi mamlaka za serikali za mitaa zinaweza kugeuza shule za msingi zilizopo kuwa za kiingereza.

英語

so my interpretation is that the only new thing made possible by such statements is that it is possible now for some people to establish swahili medium secondary schools, and it is now official that local government authorities can convert existing primary schools to become english medium.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kimeng'enya 2 cha kugeuza b'angiotensin (ace2) ni kimeng'enya kilichoambatishwa kwa sehemu ya nje (utandao wa seli) ya seli katika mapafu, mishipa, moyo, figo na utumbo.

英語

b'angiotensin-converting enzyme 2 (ace2) is an enzyme attached to the outer surface (cell membranes) of cells in the lungs, arteries, heart, kidney, and intestines.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
8,037,738,070 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK