検索ワード: kugomea (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kugomea

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

martinique: uchaguzi, utata na kugomea uchaguzi

英語

martinique: election, tension and abstention · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

brazil: wito wa kugomea gazeti linaloongoza nchini

英語

brazil: call for a boycott of the country's biggest newspaper · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

ninawarudishia swali kwenu: kugomea kupiga kura kutasaidia nini?

英語

i return the question to you: what would boycotting the elections be useful for?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kitendo cha ivanov kugomea mwaliko wa kituo cha televisheni cha telma kushiriki kwenye mahojiano kiliibua mjadala mwingine kwenye mitandao ya kijamii hususani watumiaji wa mtandao wa twita nchini macedonia.

英語

ivanov's rejection of telma's invitation to participate in an interview provoked a discussion among many macedonian users on twitter.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

vyma vya upinzani nchini uganda vimetishia kugomea uchaguzi wa rais na wabunge utakaofanyika mwezi februari 2016, kwa hoja kwamba tume ya uchaguzi una upendeleo kwa museveni na chama chake kinachotawala na wanadai ibadilishwe.

英語

uganda's opposition parties have threatened to boycott presidential and parliamentary elections due in february 2016, arguing that the electoral commission is biased in favor of museveni and his ruling party and demanding it be replaced.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwenu nyote mnaoshabikia kugomea au kuacha , ningependa sana kuwafuata na kuwaunga mkono lakini hebu mniambie nini hasa mmekipanga kwa maana ya uhalisia na ufanisi...mtarajia kuona matokeo gani kwa kugomea kura?

英語

so, those who are in favor of boycotting and abstaining, i would have loved to follow and support you but you need to tell me what have you concretely and permanently planned...what is the result you wish to see by urging boycott?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwangu, ninagomea uchaguzi kwa sababu kura yangu kwa chama chochote cha hovyo hakuna faida yoyote wala thamani yoyote kwa sababu tabaka lote la wanasiasa linasikiliza mabalozi wa kigeni na wala si watu waliowachagua...kwa kugomea uchaguzi, angalau siwapi uhalali wowote na kuwafanya wajifanyie mambo yao wenyewe bila kuigiliza kuwa

英語

for me, i am boycotting because my vote to any of the existent dirty parties is of no use and value since the entire political class only listens to foreign ambassadors and not the people who elect ...by boycotting, at least i'm not giving them any legitimacy and deputizing them so they cannot pretend

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuna kashfa ya wizi wa kitaaluma iliyoibuka mwezi machi katika duru za kitaaluma za kichina pale profesa wa fasihi wa chuo kikuu cha nanjing, wang binbin, alipotuhumu kwamba kazi ya uzamizi ya wang hui kuhusu lu xun - kugomea kukata tamaa - ina aya kadhaa ambavyo vimenukuliwa moja kwa moja kutoka katika vitabu vingine pasipo kukiri kunukuu huko.

英語

a plagiarism scandal broke out in march in chinese academic circles when nanjing university literature professor wang binbin charged that wang hui's dissertation on lu xun -resistance to despair - contains a number of passages lifted from other books without citation.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,799,503,534 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK