検索ワード: kugundua (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

kugundua

英語

detecting

最終更新: 2023-09-07
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

je unaweza hata kugundua?

英語

would you even realise it?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

unapunguza kasi, unatazama na kugundua mambo.

英語

you slow down, you look and you discover things.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mbinu za kugundua dawa bandia katika nchi zinazoendelea

英語

tracking counterfeit medicines in the developing world · global voices

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

watu tayari wameshaanza kugundua uhusiano (wa tukio hilo) na pakistani.

英語

people are already finding links to pakistan.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

brita alitembelea kituo hiki na kugundua wajibu wake wa kutunza uhai wa tembo:

英語

brita visited the center and recognized its role in protecting the welfare of elephants:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

wengi wa hudumu na timu za tiba ya kimsingi huenda wasiweze kugundua kwamba data muhimu inaweza kusimbwa.

英語

many gps and primary care teams may not realize that important relevant data can be coded.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katika shabulio la kutisha la garissa, watumiaji wa mtandao wa twita walikuwa wepesi kugundua kwamba dunia haikustuka.

英語

in the wake of the horrific garissa violence, twitter users were quick to notice the lack of international reaction.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kipimo hiki ni mahususi na kimeundwa ili kugundua protini ya rna ya virusi vya sars-cov-2 pekee.

英語

this test is specific and is designed to only detect the rna of the sars-cov-2 virus.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

haihitaji kuwa na akili nyingi kugundua kuwa akaunti hiyo unaendeshwa na majenerali bandia wa pf kwenye mtandao wa facebook wanaotaka kuitumia kukusanya takwimu.

英語

doesn’t take you to be a genius to figure out this are accounts operated by the pf fake generals on facebook that want to use it to collect data.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kadri waafrika wengi wanavyozidi kugundua nguvu ya kublogu kama zana ya kutoa maoni kwa kiwango cha dunia nzima, tarakimu ya wanablogu imeongezeka na pia maudhui yanayopewa kipaumbele.

英語

as more africans come to realize the power of blogging as a tool for expression on a global scale, the number of bloggers has increased and so has the themes in focus.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

hata tukizingatia ubunifu huu tuliozungumzia hapo awali, kugundua dawa hizi ni jambo gumu, ambalo linahitaji teknolojia za kisasa na uwezo wa kuhakikisha kuwa maagizo ya kitaifa yanafuatwa.

英語

despite the innovation mentioned earlier, detecting counterfeit drugs is still a very difficult task and requires both advanced technology and the capacity to strictly enforce international regulations.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kugundua haraka na kutengwa kwa watu ambao wanakisiwa kuwa na maambukizi ni hatua muhimu katika kulinda wafanyakazi, wateja, wageni, na wengine katika sehemu ya kazi.

英語

prompt identification and isolation of potentially infectious individuals is a critical step in protecting workers, customers, visitors, and others at a worksite.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuanzia aprili 2020, vipimo vya kingamwili (ambavyo vinaweza kugundua maambukizo amilifu na ikiwa mtu alikuwa ameambukizwa hapo awali) vilikuwa vinaendelea lakini havijatumika sana.

英語

as of 4 april 2020, antibody tests (which may detect active infections and whether a person had been infected in the past) were in development, but not yet widely used.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

fda nchini marekani iliidhinisha jaribio la kwanza la utunzaji tarehe 21 machi 2020 kwa ajili ya matumizi mwishoni mwa mwezi huo. miongozo ya utambuzi iliyotolewa na hospitali ya zhongnan ya chuo kikuu cha wuham ilipendendekeza mbinu za kugundua maambukizo kulingana na sifa za kliniki na hatari ya magonjwa ya mlipuko.

英語

the fda in the united states approved the first point-of-care test on 21 march 2020 for use at the end of that month.diagnostic guidelines released by zhongnan hospital of wuhan university suggested methods for detecting infections based upon clinical features and epidemiological risk.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kuosha mikono kimatibabu kukawa jambo la lazima muda mrefu baada ya mtaalamu kutoka hungary, ignaz semmelweis kugundua ufanisi wake (mwaka wa 1846) katika kuzuia magonjwa katika mazingira ya hospitalini.

英語

medical hand-washing became mandatory long after hungarian physician ignaz semmelweis discovered its effectiveness (in 1846) in preventing disease in a hospital environment.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

programu hiyo unaweza kugundua "mtu uliyetangamana naye karibu" kwa kutumua data ya uchunguzi na kwa hivyo kuweza kugundua hatari inayowezekana na kuambukizwa.

英語

the app is able to detect 'close contact' using surveillance data and therefore a potential risk of infection.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

hizi zinaweza kutumika kugundua maambukizi ndani ya watu kuanzia siku 7 baada ya kuanza kwa dalili, kubaini kinga ya mwili, na ufuatiliaji wa watu.majaribio yanaweza kufanywa kwenye mahabara ya kati ya (clt) au kwa upimaji katika maeneo ya utunzaji (poct).

英語

these can be used to detect infection in individuals starting 7 days or so after the onset of symptoms, to determine immunity, and in population surveillance.assays can be performed in central laboratories (clt) or by point-of-care testing (poct).

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,783,720,890 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK