検索ワード: kujitokeza (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kujitokeza

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

lakini "kila aina ya matatizo yalianza kujitokeza," anasema...

英語

but then "all kinds of problems came up," he says....

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

na baada ya miaka karibu 30, nimeamua kujitokeza na kusema wazi.

英語

after almost 30 years i broke the silence.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mwisho wake, ukizingatia ghasia zote hizi, sina hakika kwamba wataendelea kujitokeza.

英語

in the end, with all of the violence, i am not sure that they will show up.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa siku mbili, mamlaka husika hazikuweza kujitokeza kwa ajili ya kutoa msaada.

英語

for two days, local authorities failed to respond to requests for help.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kundi hili lilizaliwa wakati watu wanaojitolea kujitokeza kusaidia baada ya tetemeko lililoikumba mexico mwaka 1985.

英語

the group was born when volunteers spontaneously showed up to help in the aftermath of 1985 mexico city earthquake.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kwa kupitia jukwaa hilo, simulizi kadhaa za kuburudisha zimeshaanza kujitokeza, muda mrefu kabla ya uchaguzi wa oktoba 3.

英語

through the plaftorm, some entertaining anecdotes have already come to light, well in advance of the october 3 vote.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kijumla, muda kati ya kuambukizwa na kujitokeza kwa virusi hivi ni chini ya wiki moja na, ukifuatwa na ugonjwa wa takriban wiki 2.

英語

generally, the incubation time of these two viruses is less than one week, followed by an approximately 2-week illness.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

mara baada ya waandishi wa habari kuanza kutembea mahospitalini kwa ajili ya kutoa taarifa za tukio hili, matumizi mabaya ya madaraka yaliendelea kujitokeza.

英語

as soon as journalists began reaching hospitals to report on the situation, more mismanagement came to surface.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

jambo moja, hata hivyo, lilikuwa wazi: umma amuzi wa wanablogu wenye maadili yanayofanana na yetu ulikuwa unaanza kujitokeza duniani kote.

英語

one thing, however, was clear: a critical mass of bloggers with similar values was emerging around the globe.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

doa au aibu, pamoja na taarifa potofu, vinaaminika kuwa ndiyo sababu kuu zinazosababisha wa-afrika ya kusini wachache mno kujitokeza kutibiwa vvu.

英語

stigma, along with misinformation, are believed to be the main reasons why so few south africans get tested and treated for hiv.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kando na vienezi vikuu, ilikadiriwa kwamba kila kisa kingeibua takriban visa viwili vya pili na kipindi kati ya kuambukizwa na kujitokeza cha siku 4 hadi 7 na upeo wa kiwango cha virusi ukionekana siku ya 10 ya ugonjwa.

英語

apart from the super-spreaders, it was estimated that each case could give rise to approximately two secondary cases, with an incubation period of 4 to 7 days and the peak of viral load appearing on the 10th day of illness.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kufuatia kujitokeza watu wachache sana waliokadiriwa kuwa asilimia 50 tu mwaka 2011, tume ya uchaguzi na makundi ya asasi za kiraia yana wasiwasi kwamba katika uchaguzi wa mwaka huu watu wachache zaidi watajitokeza hasa baada ya kukatishwa tamaa na yanayofanywa na vyama vya siasa.

英語

with a high abstention rate estimated at 50pc in 2011, the electoral commission and civil-society groups are concerned that this year's turnout rate will be lower in the face of a growing popular disappointment with political parties.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

baada ya kupitia mijadala mbalimbali iliyotokea usiku wa uchaguzi, kuna wazo linaonekana kujitokeza kuwa sehemu ya mjadala: hitaji la kutambua kwa pamoja umuhimu wa kumaliza matabaka katika jamii, na hitaji la wadau wote kujichunguza wenyewe.

英語

after sifting through the numerous exchanges that took place during the night of the election, an idea seems to creep up as part of the debate: the need for mutual recognition to overcome the long separation of social classes, and the need for self-criticism from each of the players.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

kibuule anautangaza ubakaji wa wanawake kwa kigezo la mavazi yao; anawahurumia wabakaji kwa makosa yao ya jinai waliyoyafanya kwa wanawake wanaodaiwa kuvaa vibaya na; anahakikisha waathirika wa ubakaji wanapata hofu ya kujitokeza hadharani kwa kuogopa kushitakiwa kwa kubakwa.

英語

by these words, mr. kibuule is promoting the rape of women based on their dress code; he is excusing rapists for their crimes against supposedly scantily clad women and; he is ensuring that victims of rape are afraid to come forward for fear of being persecuted for being raped.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

fu kujitokeza na kueleza kwamba tamko lake lilieleweka visivyo, jambo ambalo nimekuwa nikiliona likijitokeza kwa wananachama wa chama tawala cha pap (people’s action party) mara nyingi:

英語

ms fu has since come out to say that her statement had been misunderstood, something which i have observed to happen to the ruling people's action party members very often:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,773,419,697 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK