プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
kama vile watoto wachanga wanavyotamani maziwa, nanyi pia mnapaswa kuwa na hamu ya maziwa halisi ya kiroho, ili kwa nguvu yake mpate kukua na kukombolewa.
as newborn babes, desire the sincere milk of the word, that ye may grow thereby:
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
katika kuungana na kristo ninyi mlitahiriwa, lakini si kwa tohara ifanywayo na watu, bali inayofanywa na kristo mwenyewe, na ambayo inahusikana na kukombolewa kutoka katika utu wa dhambi.
in whom also ye are circumcised with the circumcision made without hands, in putting off the body of the sins of the flesh by the circumcision of christ:
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
mungu mwenyewe ndiye aliyewaunganisha ninyi na kristo yesu. mungu amemfanya kristo awe hekima yetu; kwa njia yake sisi tunapatanishwa na mungu, tunakuwa watu wake mungu na kukombolewa.
but of him are ye in christ jesus, who of god is made unto us wisdom, and righteousness, and sanctification, and redemption:
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質:
ninyi mmekufa pamoja na kristo na kukombolewa kutoka nguvu za pepo watawala wa ulimwengu. kwa nini, basi, kuishi tena kama vile mngekuwa wa ulimwengu huu? ya nini kuwekewa masharti:
wherefore if ye be dead with christ from the rudiments of the world, why, as though living in the world, are ye subject to ordinances,
最終更新: 2012-05-06
使用頻度: 1
品質: