検索ワード: kulingana na umbali wa maeneo yao ya kazi (スワヒリ語 - 英語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

Swahili

English

情報

Swahili

kulingana na umbali wa maeneo yao ya kazi

English

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

hivyo ugawe kulingana na mchango wa mtu, thamani ya kazi yake.

英語

so will have to share in accordance with one's contribution, the value of his work.

最終更新: 2013-05-02
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

redio zamaneh haina nia ya kutangaza mabloga kulingana na mitazamo yao ya kisiasa.

英語

radio zamaneh does not promote bloggers based on their political views.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baadhi ya wamiliki wadogo wa mali hizo huko blantyre wanadai kama kwacha 500 kwa mabango waliyowekwa katika maeneo yao ya biashara ama kazi, imegundulika.

英語

some small scale property owners in blantyre are demanding, at least, k500 for political posters placed in their area of business or enterprise, it has been learnt.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mgogoro wao na serikali umetokana na madai yao ya kuboreshewa maslahi na mazingira ya kazi pamoja na kurekebishwa kwa gharama za chumba cha wagonjwa mahututi katika mahospitali yote nchini humo.

英語

the dispute with the government is based on demands for wage increase and standardisation, as well as the readjustment of the emergency room prices throughout the country's hospitals.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

barakoa ya kimatibabu hupendekezwa kwa wale ambao huenda wameambukizwa, kwa vile kuvaa barakoa huweza kudhibiti kiasi na umbali wa kusafiri kwa matone ya kupumua inayosambazwa unapozungumza, kupiga chafya, na kukohoa.

英語

surgical masks are recommended for those who may be infected, as wearing a mask can limit the volume and travel distance of expiratory droplets dispersed when talking, sneezing, and coughing.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kulingana na hali ilivyo nchini italia, mataifa, hospitali na vitengo vya kushughulikia wagonjwa mahututi vinapaswa kuongeza hali yao ya kuwa tayari kwa ongezeko la wagonjwa wa covid-19 watakaohitaji matiababu na hasa hali mahututi.

英語

based on the experience from italy, countries, hospitals and intensive care units should increase their preparedness for a surge of patients with covid-19 who will require healthcare, and in particular intensive care.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

nchi za brazil na uturuki zimetengwa na umbali wa maelfu ya kilomita, lakini zina kitu fulani cha kufanana: nchi zote mbili ziliingia mitaani kudai haki zao kama raia na sasa wanahangaika kujinasua na matumizi ya nguvu na unyanyasaji wa kupindukia unaofanywa na polisi.

英語

brazil and turkey are thousands of kilometers away from each other, but they have something in common: both countries went out to the streets to protest for their rights as citizens and are now struggling against the excessive violence and oppression from the police.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wanablogu wa venezuela na jamii ya mtandaoni kwa ujumla, wanasherehekea sanaa yake kwa kupitia makala, mapitio, na video zilizochukuliwa kwenye makumbusho na ndani ya kazi zenyewe, wakati wakieleza maana ya kazi za sato katika utamaduni wao, sura ya nchi na maisha yao ya kila siku.

英語

venezuelan bloggers and the online community in general, celebrate his art through articles, reviews, and videos taken in museums and inside the works themselves, while explaining the meaning of soto’s works in their culture, landscape and daily life.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

 ushirikiano sio mkubwa sana  mawasiliano ni muhimu sana  80% ya viongozi walionesha ushirikiano  hakuna wawekezaji huko dodoma  ardhi haiwatoshi hawahitaji uwekezaji  imani ya wananchi kwa viongozi wao ni ndogo ndio maana hawahudhurii vikao  vijiji vingi kuna irregurity kwenye kuconvene meetings, village assembly  mipaka ya kijiji haifahamiki ni kwa sababu havijawahi kupimwa.  viongozi wa baraza la ardhi hawajapewa mafunzo juu ya usuluhishi.  vyanzo vya migogoro ni mipaka kijiji na kijiji, shamba na shamba, wakulima na wafugaji???  kongogo ina vitongoji 13 na umbali kutoka vitongoji yafikia umbali wa km 30.

英語

alcoholism

最終更新: 2014-08-19
使用頻度: 2
品質:

参照: Wikipedia

人による翻訳を得て
7,794,096,140 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK